Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Sipo mbali sana ila nilitaka kuweka nguo ya kaniki mbele ili wasioijua kaniki ina rangi gani waone kuwa ni giza kumbe ni nguo tu ya kaniki na wakiitoa panabaki na mwanga
It's ok, kukaa GIZANI Kwa madhumuni ya kujua waovu wa gizani wanafanya nn Ili kulinda watu wa Mungu inaruhusiwa kbs.

Rahabu yule KAHABA, aliwapokea wapelelezi Kutoka Israel, na kuwaficha.

Waliporudi kikazi, kiliponuka, aliifanikiwa kuokolewa Yeye na familia yake.
 
"......the big boss, aka select new secretary akamuondoa the old one, then akaja pia na the new public relation officer, wote wakiaminika hawakuwahi kuwa ndani ya kampuni!!...."

Yoga kwa kupitia nukuu kutoka katika sehemu ya awali ya simulizi yako, kwa yale yanayoendelea katika kampuni nyakati hizi, unaweza sasa kuja na mzigo wenye kueleweka.

Karibu kilingeni Yoga, arosto imekuwa kalino, nini pengine ambacho kipo nyuma ya aliyekuwa selected na the old boss kuwa new company secretary? Is it the part of battle for power towards 2024/25 inside the company?
 
"Hakuna chama chochote cha siasa duniani kinachoongozwa na mtu, kama mtu yupo na anasikika ni kwa sababu wenzake katika chama wameamua aseme kwa niaba yao sio kwa sababu yeye ana akili kuliko wengine," - Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi

"Haya mambo ya sijui chama cha fulani yapo tu Tanzania na ni ushamba, hakuna chama cha Mbatia, chama cha Mbowe wala cha Selasini chama ni cha wanachama na hizi ni taasisi za wananchi," - Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi

1669222537706_2.jpg
 
View attachment 2425319
Ukiona mwanaume mzima tena kiongozi anajiremba kwa kupaka piko kichwani na kuacha baadhi ya mvi kama urembo ni wa kumchunguza Huyo.
 
Back
Top Bottom