Dark days 17/03/20...

SABABU ni zifuatazo,

1. Tanzania ni TAIFA la AGANO.

Ktk vitabu vya unabii, Taifa la agano limeandikwa Kwa CODES, bt siku hizi za mwisho limefunuliwa.

Israeli ni TAIFA la AHADI, Tanzania ni TAIFA la AGANO.

Israeli walipomkataa YESU alichagua Taifa lake ambalo litatumika kama kimbilio la waktisto wote Duniani.

Israel Wana dini Yao ya uyahudi Hadi Leo,Waamini KRISTO Yesu wapo Wachache sana.

Waisraeli kama Taifa Bado wanamsubiri masihi wao, Mpinga kristo atatoka Israeeel tajiri, mtawala ambaye atashirikiama na Romee atakayempa nguvu.

Wote wamwaminio Yesu kama KRISTO pekee lazima waikimbie hiyo vita. Na Mahali pa kukimbilia na kujificha ndo Tanzania, Taifa la NYIKANI.

Jambo Hilo ndo linafanya Mungu atengeneze mifumo yake hapa Ili kuwapokea waktisto Dunia nzima.

Majanga yaja Ili kuwapunguza waovu Ili kuwapokea watu wake Kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Kupona ni ubadilike au usubiri kupunguzwa.

Kuna Mapambano ya kimfumo na kiutawala ambapo kiongozi wa juu atawekwa MLAWI kabisa na atatawala Kwa kufuata maelekezo ya Mungu.

Dini zote zitapoungana, Tanzania pekee ndo itagoma na kubaki na Imani ktk Mungu. Issue ya CORONA ikufumbue macho, Dunia nzima iliufyata Kwa mnyama bt Tanzania iligoma. Ndo ujue jinsi Gani Taifa hili ni muhimu Kwa Dunia.

INJILI ya ufalme kuwaleta wote wamwaminio kristo itaanzia Tanzania, INJILI ya TOBA na UAMSHO itaanzia hapa kabla ya unyakuo wa KANISA.

Vita ya TATU ya Dunia ni vita ya kidini, mifumo yote ya kidunia inajitengeneza kupokea utawala wa Mpinga kristo, na DINI moja, Sarafu moja nk.

Tayari wale Malaika wawili wameshuka na soon watawaongoza watumishi kuhubiri INJILI ya Ufalme wa Mungu Kwa Dunia nzima Kutokea Tanzania.

Nabii ELIA na Nabii Musa wale manabii wawili waliotabiriwa wameshakuja Tanzania ktk form ya WANADAMU kabisa ambapo Si Rahisi kuwafahamu Hadi watapoanza KAZI.



2. INAPENDWA SANA,

Israeli imepigwa sana ktk maandiko na kupelekea utumwani mara kadhaa.

Hata mtoto anayependwa huadhibiwa sana Ili akae kwenye mstari.

3. UZINZI.

IBADA juu ya miungu mingine kibiblia ni UZINZI, Taifa ni la Mungu,iweje viongozi waingie maagano na muungu ya moto wa kichawi unaozungushwa Nchi nzima? Kwann wanafanya makafara Ili kuendelea kushikilia watu mateka?

Kuibuka manabii wa uongo wauza chumvi, mafuta, udongo nk wanaowaibia watu baraka zao na kuwapa magonjwa na LAANA.

Nabii FESTO CHINOLO, na manabii kadhaa U-Tube kama uko makini na unaongozwa na Roho MTAKATIFU, wanahubiri ujumbe Ule ule juu ya yajayo ULIMWENGUNI na juu ya Tanzania.

Tunaishi nyakati za kutisha, Uwe macho mwana wa Mungu.

ANGALIZO; Ninaposema MKRISTO namaanisha, mwanadamu yeyote anaamini juu ya Mungu. Njia ni mbili tu tuendako,

1.Wamwaminio Yesu kama KRISTO na Mwana wa Mungu ambaye ndo anakuja kuhukumu Ulimwengu.

2. Wamwaminio SHETANI, Mpinga kristo au Masih jadal.

Dini zote kama mfumo zitachikuliwa na mnyama, so unaejificha ktk dini uare in trouble.

Yesu alikuja Duniani kuwambia WANADAMU wote watubu na kuacha DHAMBI.

Hakuja kuhubiri Dini.

Mfalme wa WAFALME YESU KRISTO, Yoshua Amashia , ISSA bin Mariam anakuja kutawala Duniani.

Ameeen
 
Kwa hiyo huyo ajaye atatoka nje ya Chama dola?
 
I cant imagine the reaction of the old boss when he received the news that the new boss has expired.
 
Kwa hiyo huyo ajaye atatoka nje ya Chama dola?
Mungu ajua.

Bt kuchaguliwa Kwa Tanzania kama Taifa la Agano kuyafanya yote hayo kunatoa nafasi finyu sana Kwa vyama nje ya mfumo ulowekwa tangu kuanzishwa Kwa Nchi .

Bt tuendelee kuomba, maana with GOD the IMPOSSIBLE are POSSIBLE.

Amen.
 
The new CEO says,

Kuna watu ndani ya Kampuni hawanipendi na ni wateuliwa wa mamlaka ninayoiongoza,

UCEO ni taasisi,

Mamlaka zote zimewekwa na kuruhusiwa na Mungu,

Kama hunipendi mm new CEO, mwogope Mungu aliyeniweka hapa.

May God bless her sababu ni Kweli, Mamlaka yeyote Duniani Imeruhusiwa na Aliye juu bila kujali ni OVU au Yenye HOFU ya Mungu.

Aamen
 
Mungu ajua.

Bt kuchaguliwa Kwa Tanzania kama Taifa la Agano kuyafanya yote hayo kunatoa nafasi finyu sana Kwa vyama nje ya mfumo ulowekwa tangu kuanzishwa Kwa Nchi .

Bt tuendelee kuomba, maana with GOD the IMPOSSIBLE are POSSIBLE.

Amen.
Sasa Mungu wetu si ndiye mkuu na muweza juu ya Mifumo?

Sasa inakuwaje tena vigumu?
Ilihali amesema mwenyewe Kwenye 1Korinto 1:26-31 kwamba anachagua vinyonge ili aviaibishe vyenye Nguvu?
 
Sasa Mungu wetu si ndiye mkuu na muweza juu ya Mifumo?

Sasa inakuwaje tena vigumu?
Ilihali amesema mwenyewe Kwenye 1Korinto 1:26-31 kwamba anachagua vinyonge ili aviaibishe vyenye Nguvu?
Yote yanawezekana tukiomba,

Ulipenda ajaye atoke ndani au nje ya chama Dola ndugu NATURE?
 
Hata macho yake yanaonyesha uovu ukimuangalia vizuri, akitabasamu unaona ni tabasamu fake.
 
Nakushukuru sana.Nimepata kitu ngoja niendelee kufuatilia kwa kusoma kitabu cha Daniel,Isaya na Ufunuo wa Yohana maana hawa manabii walizungumzia mambo ya Nyakati zijazo za mbali zaidi yamkini ndio nyakati hizi.
 
Na kuna kizazi cha mtumishi wa Mungu hapa Tanzania kitatumika kuongoza Injili na kusudio la Mungu dunia nzima,je kitakuwa miongoni mwa akina Musa na Eliya au hicho kitajitegemea?

Kama ulishafunuliwa katika hili naomba uongee kidogo hapa mtumishi wa Mungu.
 
BIBLIA imeandika juu ya kurudi Kwa Musa na Eliya kuitengeneza njia ya Yesu kabla hajarudi mara ya pili.

Elia alikuja akavaa mwili akazaliwa na akaitwa Yohana Mbatizaji watu hawakumtambua Hadi Yesu alipomfichua.

Bt ktk Roho Elia alipokatwa KICHWA, alikuja mlimani akiwa na Musa kumtia nguvu Yesu.

Imeandikwa, ktk ufunuo, Kuna Malaika wawili watakuja Duniani kuhubiri hiyo INJILI ya ufalme kabla ya kurudi Kwa Yesu.

Niliwahi kuandika juu ya watu Nusu mtu nusu PEPO hao hutoka kuzimu,

Bt Kuna watu Nusu mtu nusu MALAIKA, hao hutoka juu MBINGUNI na kuvaa mwili wakawa WANADAMU, Yohana Mbatizaji alikuwa mmoja wapo.

Elia tayari yupo Tanzania na Malaika wale wawili wapo Tanzania kama WANADAMU kabisa.

Watafunuliwa watapoanza kuhubiri Kwa mataifa.

Vita saiz imeshahama, zamani tulizoea mapepo na majini kuwatokea watu, bt amini usiamini,

Wapo Malaika Kutoka Mbinguni wamekuja kibinadamu Kwa maelfu Ili kupambana na watu Nusu mtu nusu Pepo Ili kuwaokoa watu wa Mungu ktk majanga yajayo juu ya Dunia.

Ameen.
 
Amen [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aisee..
 
Yote yanawezekana tukiomba,

Ulipenda ajaye atoke ndani au nje ya chama Dola ndugu NATURE?
Hapo Si mapenzi yangu bali mapenzi yake yeye Aliyeamuru haya yatokee kwenye majira na Nyakati tulizopo...
 
Mtumishi yupi....kwa maana kuna mmoja anatajwa tajwa huku
 
Swali,,,

Ina maana hao watu Nusu Malaika ni kwamba wanaishi kabisa kama raia wa Tanzania?

Yaani wamezaliwa, Kusoma na kulelewa kwenye mazingira yetu ya kawaida kabisa?

Na watu hao wanajitambua kabisa kwamba wao ni Nusu mtu musu malaika?

Wanaujua wajibu wao ipasavyo?
 
Nimekuuliza swali hujanijibu mkuu
 
Anapovaa mwili wa mtoto anakuwa chini ya UANGALIZI.

Bt akikua anajua Kila kitu bt hawezi Sema au kufanya chochote bila kupata maelekezo Kutoka mamlaka ilomleta.

Ni majasusi from above, aweza jiattach anywhere.

Hii Dunia Iko hivi ilivyo sababu ya watu wanaoomba Mungu,

Akiachwa huru Ibilisi hata Kwa lisaa, anaiteketeza yote Ili wakae wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…