Dark days 17/03/20...

Kwani anakuwa na daktari mmoja tu?
 
Vipi wakati una shoot hii scene ulikuwa umekaa upande gani wa room?
 
Kwa juuu yaani!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenifanya nicheke sanaaaa ujue!![emoji16][emoji23][emoji23] Dah!
🤣🤣Bila shaka hata wewe machozi yalikua yanakulenga wakati una shot ile scene, maana umeandika kwa hisia sana "He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! "
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee siunajua tena fanani na hadhira yake bwana!! Ila CEO bwana R.I.P kwake eti[emoji16][emoji847][emoji9]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee siunajua tena fanani na hadhira yake bwana!! Ila CEO bwana R.I.P kwake eti[emoji16][emoji847][emoji9]
Hongera sana fanani kwa kazi nzur, japo hadhira yako hatujajua motive yako ni ipi hasa?

Je unaburudisha, unafarakanisha au ndio unajipima uwezo wako wa kuandaa fasihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…