Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Sasa simpaka wajue walicho fanyiwa !? Siumesoma mtiriliko wa story nzima hapo story inasema kwamba hata daktari wa late CEO alikuwa ni undercover, so it means alikuwa anajua kinacho mmaliza mkuu lakini hakumtibu kwakuwa alikuwa katika mission ,so late CEO angejuaje kuwa. Anapaswa kutumia antibiotics wakati daktari wake alimficha kuwa alikuwa poisoned
Kwani anakuwa na daktari mmoja tu?
 
He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes
Vipi wakati una shoot hii scene ulikuwa umekaa upande gani wa room?
 
Kwa juuu yaani!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenifanya nicheke sanaaaa ujue!![emoji16][emoji23][emoji23] Dah!
🤣🤣Bila shaka hata wewe machozi yalikua yanakulenga wakati una shot ile scene, maana umeandika kwa hisia sana "He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! "
 
[emoji1787][emoji1787]Bila shaka hata wewe machozi yalikua yanakulenga wakati una shot ile scene, maana umeandika kwa hisia sana "He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! "
[emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee siunajua tena fanani na hadhira yake bwana!! Ila CEO bwana R.I.P kwake eti[emoji16][emoji847][emoji9]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee siunajua tena fanani na hadhira yake bwana!! Ila CEO bwana R.I.P kwake eti[emoji16][emoji847][emoji9]
Hongera sana fanani kwa kazi nzur, japo hadhira yako hatujajua motive yako ni ipi hasa?

Je unaburudisha, unafarakanisha au ndio unajipima uwezo wako wa kuandaa fasihi
 
Back
Top Bottom