Wacha wanyooshwe Kwa huo ulafi hyo episode ya kupiga Yoga Ali explain vizuri kumbe hata mabei ni uhuni wao tu na tamaa zako wangefanya Kila jambo Kwa kiasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kwa viatu mbna utachekaaa, kuna siku alivaa [emoji150], nusu nizimie kwa kucheka.[emoji28][emoji28] sijawahi mwangalia viatu nitaanza una observation Kali kweli
Mie mawazo yangu yako ya BT kusafirisha wenzake ili hata akiondoka anajua aliokua nao sambamba nao pia hawapooo.Sidhani saaaaaana kama BT ana ubavu kwani ni sawa na kujipunguza kiungo chako ili kupungua uzito.
BT anawategemea watu vichwa kumtekelezea majukumu yake, labda uoneshe dalili za kupingana naye au kuonesha interest za kumpiku maslahi yake kama late CEO.
Japo ulilowaza pia INAWEZEKANA, haya mambo unapoona hapawezekank ujue ndipo penye tobo.
Kaziiii ipoooZamaaaaaaaaani sana mbona. Hapa twategemea dipu steti itutetee tu maana hatuna tuliwezalo kujikwamua. Au kwa maombi kila mmoja amsihi Mungu atuondolee walafi hawa.
Tafuta wakumdanganya, sio mimi. Sio kila mtu anaudumavu kichwani humu.Hujuhi kitu, nyamaza.
Membe alipenyezwa akawa ndiye mshauri mkuu wa Samia kuhusu usalama na diplomasia.
Kete ilikuwa inasogezwa kuwa mpango Hana mvuto/ushawishi hivyo membe awe VP
Mkuu, upo?Iko hivi mr new culture, amechangamka kidogo! Tuseme nayeye ni born town anayechipukia kwenye upande wa kampuni yake!! Ame kuwa CEO Kwa miaka kadha wa kadha! Kuna kipindi alipaswa kuachia ngazi kwa mujibu wa utaratibu wa kampuni yao but haikuwa ivyo. Aliweza kufanya umafia wake na kubaki as CEO ndani ya kampuni yake!
Wapo vijana walimchallenge mr new culture as a CEO at the end of the Day they ended up dead or fired from the company!! Kuna kijna wake mmoja alie mtrain vya kutosha na kujizolea umaarufu wa kutosha! Kijana alitamani awe CEO amtoe mr new culture, nia yake ilishia kwenye grave yard!
Lengo ilikuwa 2027 awe Rais kabisa kwa mgongo wa nyuma , halafu wasivyo na aibu ile Kambi yake walikuwa wanasema Wazi kabisaWallah km Membe angefanikiwa kuwa VP. mbna angefanya vyovyote P adondoke ili yeye aukwae kilaini. Lol
Mie mawazo yangu yako ya BT kusafirisha wenzake ili hata akiondoka anajua aliokua nao sambamba nao pia hawapooo.
Ko historia inaanza upyaa.
Lengo ilikuwa 2027 awe Rais kabisa kwa mgongo wa nyuma , halafu wasivyo na aibu ile Kambi yake walikuwa wanasema Wazi kabisa
Huu ni UONGO na uzandiki.... Usijitafutie laana kwa uzushi wakoMissions ilikuwa hivii
Maembe 2025 awe VP then Huyu wa sasa akae miaka 2/1 baada ya hapo awe execution then maembe ashike usukani.
[emoji23]Leo nimefurahi sanaaa.
Team msoga wapo kwenye taharuki
Hapa hakika teeth wamefanya kazi nzurii Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni UONGO na uzandiki.... Usijitafutie laana kwa uzushi wako
[emoji1785][emoji1785][emoji1785]Ni ngumu sana kutenganisha kifo Cha DODO na ujio wa PAKA wiki chache zilizopita!
Duh! Kumbe imawezekana yule kijana walimmaliza wenyewe.Mkuu, upo?
Yupi huyo?Duh! Kumbe imawezekana yule kijana walimmaliza wenyewe.
Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ ambaye pia ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania John Malecela na Mmiliki wa Online TV ya LeMutuz amefariki dunia leo Jijini Dsm. RIPLEMUTUZ[emoji1488]View attachment 2621230
Duuuh mbna maajabu hayaa lol.Lengo ilikuwa 2027 awe Rais kabisa kwa mgongo wa nyuma , halafu wasivyo na aibu ile Kambi yake walikuwa wanasema Wazi kabisa
BT hawazi hilo, yeye anachotaka wote aliokua nao sambamba waondoke, hata yeye akiondoka aache wapya huku nyuma watajua wao wanaendesha vipi kampuni.Sasa kuandika historia kwa upya ndio mtihani, inategemea na anayeiandika. Ataandika kwa maslahi ya nani? Kwa mfumo upi?
Mbona hatariiii hii."Mbinu ambazo Kikwete alitumia kummaliza JPM ndiyo hiyo hiyo ambayo anatumia leo kummaliza Samia, ingawa wakati huu ngoma inaweza kuwa ngumu zaidi upande wake kwa sababu alimfundisha Samia mbinu zake na sasa anapambana kumpindua...
[emoji117]Subirini kidogo mtasikia mengi kupitia vifo hivi mtaambiwa ni Corona ila ukweli ni kwamba wanapimana ubavu Kikwete anapambana kuiangusha dola na Samia anapambana kuimarisha dola tatizo ni kwamba wanatumia mbinu za aina moja.
[emoji117]Mwalimu alimfundisha mtoto hesabu za 1-1=0 leo ana tumia formula mpya ya 1+1-2=0 tunzeni post hii....
[emoji117]Mbowe hana uhai mrefu muda mfupi ujao asipokuwa makini atakuwa mwendazake wa watatu, Makamba Samia ama Kikwete lolote linaweza kutokea
[emoji117]Dhambi ya mauajia kwa mgongo wa Corona imeanza kulitafuna taifa.....
Ila kwetu Wachunguzi Huru Tanganyika ni furaha tele acha watifuane ili kesho tuijenge Tanganyika mpya ya ndoto za Magufuli"
IMEPOSTIWA PAGE YA WACHUNGUZI HURU.