Dark days 17/03/20...


Unafanya Makosa ya ki espionage.
 
@yoga kaelekeza ujasusi humu umeshindwa hata kuutumia kuandika unaropoka tu [emoji18]
 
Kwa maslah ya nani? BT anataka amuweke nani mjengoni aridhike? Anatakaje Kwani? Mbona ukwasi anao hadi wakutumia vizazi vyake kadhaa? [emoji848]
 
BT hawazi hilo, yeye anachotaka wote aliokua nao sambamba waondoke, hata yeye akiondoka aache wapya huku nyuma watajua wao wanaendesha vipi kampuni.

Kabisa..!! Kuna mahali unasema liwalo na liwe tu. Tukose wote.
 
Kabisa..!! Kuna mahali unasema liwalo na liwe tu. Tukose wote.
Ila pia inawezekana paka na harakati za kupeleka wapiganaji kule kwenye ukwasi wa ardhini mwingi. Labda dodo alikuwa mwiba hivyo paka kaja kwenye kikao na dodo akawepo wakamaliza maana ndiye mwenye kufahamu mission zote kila kona. Maana kwa jinsi inavyoonekana dodo alikuwa well informed. Hivyo kuna uwezekano kabisa hii vita imehamasishwa na paka na analipiza kisasi kipindi kile na kuja kwake unaweza kuta alikuja kumjulisha current CEO kuwa BT na timu wamepanga kukumaliza na akaja na ushahidi, hivyo akaomba amsaidie kumbe yeye paka anatimiza mission zake za kuzuia infantry kuingia kule kwenye ukwasi wa chini ya udongo
 
Kabisa..!! Kuna mahali unasema liwalo na liwe tu. Tukose wote.
Ndo anacho kitaka BT, yaan wote alio kua nao sambamba waondokee, yeye akiondokaa hana shida, watabaki wapyaa hataumia sanaaa.
 
Ila hapa napo pana make sense, na kuhusu paka bifu na BT haliwezi isha kamwee, na mie naona kupitia paka akiungana na New CEO wanaweza muondoa BT kiwepesi,

Maana hata New CEO ashajua BT ni threat kwake, japo wanachekeana na kuelekezana kumbe unafiki anataka kumuangamiza zaidi.

BT hana urafiki wala ukaribu ktk maslahi yake, huwa ananijijali yeye na wa ubavuni mwake tyuuh.
 
Na paka anajua kabisa uhasama wa late CEO na BT. Sema mi binafsi nampenda BT ana akili na anajua kucheza na akili za watu ila alioungana nao ni watoto kiakili wote mpaka dodo, yaani yeye waliwezana na mamvi tu enzi akiwa mkuu wa muhimili wa kusimamia serikali mjengoni. Ila hawa wengine wame mlet down sana kwa sababu ni waropokaji karibia wote, siyo dodo pamoja na ubobezi wake, current CEO pamoja na kuhusika kushirikiana na gogokuminanne kuvujisha siri za serikali ila bado siyo msiri kama late CEO tu. Nadhani BT anatakiwa atengeneze timu nyingine ya wakimya kimya kama mamvi alivyokuwa yaani kariba ya watu wakimya.
 
Current CEO ameamua kuanzidha vita ambayo itamgharimu maisha yake,ukienda kinyume na mastermind tegemea kupoteza!Pogba akijitahidi sanaaa basi watakosa wote🤔🤔,Mungu ibariki Tanzania.
 
Hizi code ni balaa lkn nimeelewa[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…