Ni kutunishiana misuri kwenda mbele. Ila BT jamani alianza kupendwa sana na watanzania enzi za late CEO, tena kila pahala alishangiliwa. Ila kwa sasa aisee ni zaidi ya uchaguzi wa 2010. Mungu amsaidie apone maana alikosea sana kula dili na watoto kiakili maana kila kukicha wanaropoka ropoka mission.
nakaziayoga toa ahadi ya uzi watu tujue tungojee
Nani alituma? White head?
Ndivyo ilivyo! Imesha ongelewa huko juu na yoga[emoji41] wali rudisha mapigo kwa silaha ileileVipi kama haya yote ni kinyume chake
Uongo huwa unawahi kufika kuliko ukweli
Vip kama late CEO ndio alitaka kum R.I.P BT akawahiwa yeye
Ila sikuzote kwenye moshi kuna moto
Wamemuanika kweupe kabisaNi kutunishiana misuri kwenda mbele. Ila BT jamani alianza kupendwa sana na watanzania enzi za late CEO, tena kila pahala alishangiliwa. Ila kwa sasa aisee ni zaidi ya uchaguzi wa 2010. Mungu amsaidie apone maana alikosea sana kula dili na watoto kiakili maana kila kukicha wanaropoka ropoka mission.
Acha utani inamaana achika ndiyo supreme leader wa dip shiteti? Ila yawezekana ni hatari maana kuna mtu alishataka jimbo lake aliponea kwa waasisi wa mapiano
Hivi ile RIP in advance son alitumiwa nani sms?
Arosto imezidi ingawa yoga alishatoa taarifa yanayoendelea tayariArosto imezidi kipimo cha uvumilivu ehh??
PAKA ndio PK ... alikuja kuitembekea kampuni yetu Juzi KatiSaa nyingine mnatumia code gumu balaa, mtu unasoma tena na tena mtu wala huelewi, Paka au PK ndio nani?
Au yule pua ndefu?
Hivi urafiki wake na Late CEO ulikuja ukafa au?
Na kilichoua urafiki wao ni kitu gani?
Maana Pua ndefu hakuwepo kwenye mazishi ya Late CEO
Ni kutunishiana misuri kwenda mbele. Ila BT jamani alianza kupendwa sana na watanzania enzi za late CEO, tena kila pahala alishangiliwa. Ila kwa sasa aisee ni zaidi ya uchaguzi wa 2010. Mungu amsaidie apone maana alikosea sana kula dili na watoto kiakili maana kila kukicha wanaropoka ropoka mission.
Vipi kama haya yote ni kinyume chake
Uongo huwa unawahi kufika kuliko ukweli
Vip kama late CEO ndio alitaka kum R.I.P BT akawahiwa yeye
Ila sikuzote kwenye moshi kuna moto
Arosto imezidi ingawa yoga alishatoa taarifa yanayoendelea tayari
Ndie huyu aliwahi kuwa branch manager kule mahabani? Yupo wapi now days mbona hasikiki?Huyo mzee aliwahi kuwa na wadhifa huko jeshini miaka hiyo ya 70. Aliwahi kuwa memba wa branch, mtu wa kusini huko kwenye korosho “ mkuu achika”
Ndie huyu aliwahi kuwa branch manager kule mahabani? Yupo wapi now days mbona hasikiki?