Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Hivi yule aliyekuwa mkuu wa kitengo cha wenye nchi D1 alipelekwa wapi baada ya kugomea cheo. Ni kama hakuna taarifa zake kabisa kwa sasaYeah huyo ndiye.
Hasiki kazi kimya kimya. Sijui hata yuko wapi siku hizi. Labda yupo room za majasusi wakiisuka mipango.
Kiongozi wa kata aisee kimyaHivi yule aliyekuwa mkuu wa kitengo cha wenye nchi D1 alipelekwa wapi baada ya kugomea cheo. Ni kama hakuna taarifa zake kabisa kwa sasa
Aje bwana tuna msubiriaEehh..!!! Anasubiri yatokee ajazie nyama next episode
Fungua hii code mkuuMoja ya scene nzuri sana, ya kijana kupewa To be eliminated list…!! I wonder how is that kijana clean and smart kudeal na big boys walio kwenye list.??
Inamaana ya ulinzi na usalama,Na uwepo wa mkusanya nauli katika kumsindikiza dodo tena akiwa na Askari unamaanisha Nini?
He is powerful and genius.Huyo mzee aliwahi kuwa na wadhifa huko jeshini miaka hiyo ya 70. Aliwahi kuwa memba wa branch, mtu wa kusini huko kwenye korosho “ mkuu achika”
Mbona watu husema yeye na dodo ni mtu na kaka yake kabisaHivi BT kahudhuria kumsindikiza rafiki yake physically?
Mbona watu husema yeye na dodo ni mtu na kaka yake kabisa
Inamaana ya ulinzi na usalama,
Aliaga Jana karimjee and he was sad nusu adondoshe chozi kabisa na ataenda chiponda, RrondoSijamuona kwenye picha za shughuli hadi now
Maneno ya watu sijui ka Yana ukweli
Maaneno tuuuManeno ya watu sijui ka Yana ukweli
Aliaga Jana karimjee and he was sad nusu adondoshe chozi kabisa na ataenda chiponda, Rrondo
kwa hiyo unataka kusemaje hapa ?........kwamba serikali ya tanzania yote ipo mikononi mwa pk auPK ametawala la awamu nyingi, anatujua sana. Huwezi kupuuza influence yake hapa.
Kuhusu mzaliwa ni story tu za kahawa hamna kitu kama hicho.BT tatizo lake ni tamaa, sasa sijui inawezekana yupo compromised (hapa namaanisha inawezekana kwenye hizo rushwa na ufisadi wa miradi etc labda kuna wawekezaji wazungu wenye shares kubwa hivyo akienda kinyume watamuua na kuua familia). Maana sioni haja ya yeye kutaka kujilimbikizia mali?
Kama umefatilia simulizi vizuri, kuna pahala inaelezwa kuwa he is ready to die to save the company baada ya usaliti alioufanya nyuma.He is powerful and genius.