Dark days 17/03/20...

[emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee siunajua tena fanani na hadhira yake bwana!! Ila CEO bwana R.I.P kwake eti[emoji16][emoji847][emoji9]
Hiyo party imeniumiza Sana!hadi unajiuliza kwanini the wenye kampuni wasingemfanya the late KUWA mtendaji MKUU na awe active tu KULIKO kumfanya CEO kabisa!!!??nadhani angefanya vizuri kama angekuwa monitored!!?wakamchomeka aiseh!!
 
Hongera sana fanani kwa kazi nzur, japo hadhira yako hatujajua motive yako ni ipi hasa?

Je unaburudisha, unafarakanisha au ndio unajipima uwezo wako wa kuandaa fasihi
Lengo ni kutuandaa kisaikolojia kwa matukio yajayo mbeleni kwenye kampuni yeti!!anatuandaa wenye akili tutambue kuna mtifuano wa chinichini ndani ya kampuni na mambo hayajatulia kwahiyo hiki ni kipindi cha mpito kuelekea Kule kunakopaswa kufikwa!BADO mageuzi KWENYE kampuni yanahitajika kufanyika!!!tujiandae tuwe makini,IKIWEZEKANA tubaki majumbani tucheze na watoto wetu wakati wa tufani!!!
 
Tabasamu he's so so smart nigga , kuuangusha ule mbuyu wakati chain yake imerudi ktk system ni zaidi ya Vita , imagine ukali wa amelala yoooh na ulinzi wake ulivyokuwa then Waka muondoa ndio huyu macho kumchuzi ata muweza, thubutuu [emoji16]
Jamaa ni Mafia itakuwa.

Any way Mimi simpendi na namlaani japo Sina hakika Kama laana inafanya kazi ama laa.
 
Watching what [emoji23][emoji23][emoji23]

Nmecheka kinoma



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Uko makini.
 
Huu Uzi mbona UNANICHANGANYA?mleta mada yanayoongelewa kila upande anayajua vizuri,Hadi yaliyoongelewa kwa Siri na Yule mwarabu wa Doha mleta mada anajua in detailsπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”mmmmh Hapana Kuna kitu hakiko sawa hapa......
 
Code ipo uchi wa mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…