Dark days 17/03/20...

Daah
 
Wana JF naomba kuuliza swali,
maana mimi ni mtu wa bush bush huku,
Ki protocol huyu mlinzi kuwazuia wale walinzi wa KP imekaaje ki protocol? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Nionavyo mimi,ni kama Mlinzi wa kuna ujumbe alitaka kuufikisha kwa mlinzi wa PK but yule wa kwanza akamtolea nje akaja kusikilizwa na aliyekuwa amefuata.
 
Nionavyo mimi,ni kama Mlinzi wa kuna ujumbe alitaka kuufikisha kwa mlinzi wa PK but yule wa kwanza akamtolea nje akaja kusikilizwa na aliyekuwa amefuata.
Duuuuh sawa, Makuku Rey hapakuwa na njia nyingine ya kufikisha ujumbe japo hata kwa kumpa ki memo?
Je Zanzibar au Tanzania nao siku wakialikwa Rwanda nao wakija kulipwa watajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…