Dark days 17/03/20...

Nimekaa nimeusoma huu uzi baada kusikiliza interview ya Mo Dewji nimekuja kugundua kuna umuhimu wa kuwa na team imara katika kuiongoza nchi. Uongozi wa Borntown ukikuwa na kasoro zake lakini ulikuwa na team imara. Ukiangalia Late CEO na New CEO hawana team. Unaona kabisa maafisa wa serikali wanakinzana na kila mtu anatoa maagizo. Hichi kitu kinaharibu nchi na kinatengeneza mapengo makubwa sana ya kuruhusu mambo kufanyika bila uongozi kujua. Mara mia Borntown na Mamvi wangemaliza tofauti zao na kumruhusu Mamvi agombee 2015. Ukisoma magazeti na ukiangalia taarifa ya habari unaona kabisa viongozi hawafanyi kazi pamoja. Inabidi CCM ikae chini na iunde team ya watu makini bila kuangalia ushabiki. Iundwe team ya watu wenye uwezo, inashangaza sana kuona viongozi wanateuliwa kichawa. Ukiangalia CV za wateule wetu unaweza ukashindwa kumshauri mwanao asome au akazane na mbio za mwenge. Pengine akikomaa na mbio za mwenge anaweza akapata hata ukuu wa wilaya.
 
Naombeni kujua nani alimuua Bob Marley
Labda unamanisha Lucky Dube, ndiye aliuawa kwa kupigwa risasi na Mhlanga (alikuwa na wenzake wengine watatu) ambapo alifyatua risasi mbili, moja ilimpata Dube kifuani na nyingine kwenye bega.

Bob Marley:
  • Kifo cha Bob Marley kilisababishwa na saratani
  • Ingawa kuna nadharia za njama juu ya kifo chake, hakuna ushahidi kuthibitisha kwamba aliuawa.
 
Na huyu yoga ndie alikuwa Kigogo wa kule Facebook...baada ya kuwa namba 1 Kigogo akapotea🤣🤣🤣​
 
Hadi nimeanza kuiogopa...Ukisikia tu umepelekwa humo ndiyo, uanze kuomba tuonane milele...Daah changamoto sana😂
 
Ile ni mortuary sio hospital wanao pelekwa pale wanakuwa wamesha kata moto...Ili kulinda hadhi ya hospital nyingine wanabidi waisingizie hiyo mortuary .....!​
 
Mzena..?
pale huwa wanapelekwa waliokata moto au wanaokaribia kukata moto, lengo ni ili kuzuia taarifa zisi-leak maana kuna mambo huwa yanachukua muda kuwekwa sawa!

unadhan akifariki leo wanatangaza kesho? huwa zinapita siku mpk 10 kulingana na nafasi ya mhusika, wanakua wanaweka mazingira sawa huku nje ndipo taarifa hutolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…