Dark days 17/03/20...

.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona CDF wa zamani amesema kwa uchache
Huyu ni mtu aliyekula kiapo kwa nafasi aliyoihudumu mpaka alipostaafu. Hawezi kuropoka hovyo masuala yahusuyo taasisi nyeti ya urais tena mbele ya vyombo vya habari bila ruhusa maalum.

"Deep state won't wait to balance both the paradox and equation
towards the year 2025" ili kuepuka minong'ono kutoka kwa makundi tofauti ya wanaskununu. Je! Ni kweli ex - CEO alikufa tarehe 17-03-2021 ama hiyo ilikuwa ni tarehe ambayo ilikubaliwa itolewe taarifa ya kifo chake kwa umma!? Kama kweli alifariki saa 12 jioni na taarifa ya kifo chake ikakakubalika itolewe na VP saa 5 usiku. Je! Mlolongo wa matukio yote yaliyosemwa na ex CDF yalifanyika ndani ya masaa yapatayo 5 tu!?

Ukiona habari zimechelewa sana kuja hadharani, tena zikikinzana kutoka kwa wanyetishaji tofauti na wenye kuaminika, na pia huku wale waliokuwa awali kwenye "inner circle" wakiwekwa kando na kufungwa "governor" basi tambua lipo jambo "under the scene".
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…