Dark days 17/03/20...

Hapo na mm kaniachia maswal sna alijuwaje kinachojadiliwa in private room ya CEO wkt Ni wawili tu walikuepo

Ingawa ameamua kujiongeza I'll kupoteza uhalali wa kudhibitisha ukweli wa story yake
20 % Ni kweli mengine Ni hisia tu
Mnk mm mwenyewe nafatilia sna shughuli za ceo huwa na matukio yake mauhimu
 
Haitoi mionzi na sio radioactive material

Inatoa alpha particles

bout chelating agents such as dimercaprol and penicillamine upo sahihi kabisa kiongozi
 
Kwamba hao marais wanauwawa kwa kupewa chai na mgeni aliyeshuka na private jet na hajulikani. Na sumu iliyotiwa na kutumwa kwenye documents? Wanakufa ila hawafi kitoto hivi. Nilisoma sikumalizia kipande cha nne nikaishia hapo sijui wapi alisema ni fiction
 
Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town

Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa

Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy

Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
 
Mueleze huo ulinzi mkali ndo wanautumia kuwamaliza.
 
Nb hii ni simulizi tu kama vitabu vingine vinavyosimuliaga story.

Hata hivyo unatakiwa kujua kuwa unaloliona haliwezekani ndo huwa linawezekana kua uyaone.

.kuna riwaya moja nilisoma, yule bwana hakujuwa kuwa mambo magumu yanawezekana kutokea juu yake alikuja kukundungua muda ushaenda.alicheka huku akiwa analia.

Akamuita mtu wake wa karibu sana akamwambia niitie mchungaji fulani , mchungaji akaja akamwambia nimekuitia mambo matatu.
1: akamwambia kila kitu alichokigundua wakati alishachelewa.
2: akamwambia tusali wote......wakasali.
3: mwisho akamwambia wacha tu mimi niishie hapa.

Nilivyosoma kile kitabu nikakimaliza nikagundua yule bwana mwisho alikubali matokeo, na akaona ni sahihi aishie pale naana angeendelea kuwa hai angeshangaza dunia maana pale unapogundua huyu mtu wa karibu yako ndo mbaya wako, pata picha unamfanya nini?

So nyie watoto mmezaliwa jana hamsomi vitabu, riwaya zipo nyingi na za kufundisha.nendeni maktaba mkasome vitabu.
 
Thank you. Well analysed

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Waliitwa kwenye kamati ya maadili hawakwenda kuomba msamaha.
 
Nadhani hujaelewa mwandishi keshasema old CEO NI mtaalamu wa kukununulia hata maadui fek ukaamimi NI adui zako kumbe anakata Kona ndefu kabla ya kukufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…