Dark days 17/03/20...

Vyovyoye inawekezana!!yule kipilimba na kanisa lake nani alijua atakua DG Tena katili sana kipindi kile!!!?
 
M
Binafsi naona kama Hussein Mwinyi na Anthony Mtaka wana uwezo wa kutenda pasipo mashinikizo ya watu. Maana wanafanya kazi zao with minimum guidance ni kama hawategemei sana kujikomba kwa mtu ili wafanye kazi zao.
Baba ake akiwa rais wa Tanzania aliuza eneo la loliondo kwa waarabu SAS HV yey binafsi Ana kashaf ya kuuzaa kisiwaa upande mmoja
 
Hayupo kati yao
 
Duuuuuuh hatari, Mungu awape uhai wazee wenye kulipenda Taifa, rasilimali za nchi na watu wake hasa wenye kutaka rasilimali za nchi zinufaishe watu wengi na taifa na si kikundi cha watu wachache.
Kuna juhudi Fulani za ulimwengu wa kiroho kuwavuta wastaafu wa Urais Kwa Kasi kwenda kule ambapo hawarudi,Hadi najiuliza Hadi 2025 tutakua na mstaafu yeyote wa urais atakua amesalia Kwa huku Bara!!
 
Vyovyoye inawekezana!!yule kipilimba na kanisa lake nani alijua atakua DG Tena katili sana kipindi kile!!!?
Ahaaaaa Ahaaaaa, hatari, kuna mwingine Ubungo huko aliwahi kulewa Bapa akawa full kutukana hivi majuzi tena kwenye mkutano fulani na Waziri mkuu kafanya maombi kwenye kuhitimisha hakutumia Jina la Bwana Yesu, alizua ngumzo kwenye ulimwengu wa Wakristo wa Kipentekoste.
Pia amekuwa na vijihoja vinavyozua mjadala hadi Waislamu kumfurahia
 
Dini ni sehemu ya ujasusi wa kidola na kiuchumi!
 
Kuna juhudi Fulani za ulimwengu wa kiroho kuwavuta wastaafu wa Urais Kwa Kasi kwenda kule ambapo hawarudi,Hadi najiuliza Hadi 2025 tutakua na mstaafu yeyote wa urais atakua amesalia Kwa huku Bara!!
Kuna mmoja huyo analindwa na
1. Majini
2. Wazungu wa Ulaya.
3. System ya ndani,
Huyo atakuwepo yaweza kufika miaka 100 au zaidi,
Ni kina kirefu, unaambiwa hata Pk na Putin au Mossad waungane kumuwinda hawamuwezi,
Ilisikika radio mbao fulani ikisema.
 
Niliwahi kuona sehemu fulani kuwa,
"kwa kuwa mzee wa uwazi na ukweli katangulia pamoja na Mr Maembe,
Waebrania, Waberoya, Wagalatia watasubiri sana kupata tena, nafasi ya namba moja"
Nikasema mmmmmmmh team BT hatari.


 
Eeh mwenyezi Mungu mchukue na huyu aliyebaki kwa upendo wako 2030 tuanze upya πŸ™ πŸ™
 
Umeeleweka, tusaidie pia kujua KAZI na umuhimu wa Pete ya right hand.

Mkataba wa Left hand unaeleweka, vp kulia!!!
Aisee kama tumezaliwa day moja maana na mimi nimejiuliza hivyo hivyo. So ukijibiwa na mimi nitag Tata
 
Huyo jamaa ni mjanja aliyeiona fursa mapema. Kasomea Sosholojia. Mwalimu wake ni Meya wa Jiji la Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…