NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Vyovyoye inawekezana!!yule kipilimba na kanisa lake nani alijua atakua DG Tena katili sana kipindi kile!!!?Kwa hiyo mtu wa Mungu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI unataka kuniambia nisimpige Boniface Victor?
Nimwombe msahama kwa kwa kumkataa alipotabiri na hata unabii wake kufeli?
Vipi yule kule You Tube wa Kule Arusha HUDUMA YA KRISTO, hutoa tafsiri ya ndoto mbalimbali ambazo hudai kaota, je naye hutumiwa na system?