Dark days 17/03/20...

Labda tuseme hivi New CEO aliyepo sasa hivi, Late CEO anayembackup new CEO, grand Late CEO (R.I.P) halafu grand grand Late CEO (R.I.P) too ndiye aliyeanza kupumzika.
Kama ni uzao basi hiki tutakiita kizazi cha nne kuanzia kwa New CEO kurudi nyuma.
 
izidoli
 
Najaribu kujiwazia kuwa wewe Yoga ni nani ktk hili sekeseke maana umeisimulia story yako kwa kukaa vyema kabisa juu ya kila nafsi iliyoshiriki. Who are you?
yoga NI gwiji wa riwaya, fiction story km zile za James Hardly Chase au vile vitabu vya Misiba kanimaliza pale alipoingia jumba la pesa kumtafuta msaidizi wa CEO enzi ya The late alikuwa mshika noti. Jengo lift na walinzi liko vilevile kwenye hii story hata kiti alichokuja kalia jamaa na kugusa mpaka kaenda lazwa. Na kwa vile kabila lake msaidizi ni waoga hatimaye kamgeuka CEO na kutoa kumpa Old CEO
Mtunzi ni gwiji na ana access kubwa katika Kampuni
 
Na kwa Nchi kama Tanzania ambayo watu wake ambao tupo kama marehemu,RAIS ana uwezo wa kuchukua hata nusu ya fedha alizokopa let's say SAMIA achukue nusu ya zile 1.3 na hata Wananchi wasifanye chochote na ana uwezo wa kumuagiza Governor wa B.O.T akachukue hela yoyote anayotaka.

Sasa kwa nini uli risk position yako kwa kitu ambacho unaweza kukopata kirahisi,labda kama ana nia ya kweli ya kuikomboa Tanzania upya kama Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…