Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Karudie kusoma hizo code za CEO zipo 3 unazichanganya.
Old CEO ndio ana hilo genge waliotambaa white house
Late CEO alishafukiwa udongoni aliwatimua wote kundi la Old CEO
New CEO ndio kawarudisha wote mabest wa Old CEO hata Jana swahiba wake Mkuu wa Old CEO kapewa shavu awe msaidizi wa New CEO kwenye club ya mpira
Labda tuseme hivi New CEO aliyepo sasa hivi, Late CEO anayembackup new CEO, grand Late CEO (R.I.P) halafu grand grand Late CEO (R.I.P) too ndiye aliyeanza kupumzika.
Kama ni uzao basi hiki tutakiita kizazi cha nne kuanzia kwa New CEO kurudi nyuma.
 
Code ambayo cjaipata hapa ni yule kijana wa old CEO aliyeamua kumgeuka na kuwa mshauri mkuu wa new CEO ni mhasibu mkuu aliyepo au? Na kijana aliyewekwa kizuizini baada ya late CEO ku RIP ni yule mwanaCUF wa zaman au yule uncle wa late CEO aliyekua cashier mkuu naombeni clue wadau twende sawa
izidoli
 
Movie inaendelea kukolea
IMG_20220402_162614_481.JPG
 
Najaribu kujiwazia kuwa wewe Yoga ni nani ktk hili sekeseke maana umeisimulia story yako kwa kukaa vyema kabisa juu ya kila nafsi iliyoshiriki. Who are you?
yoga NI gwiji wa riwaya, fiction story km zile za James Hardly Chase au vile vitabu vya Misiba kanimaliza pale alipoingia jumba la pesa kumtafuta msaidizi wa CEO enzi ya The late alikuwa mshika noti. Jengo lift na walinzi liko vilevile kwenye hii story hata kiti alichokuja kalia jamaa na kugusa mpaka kaenda lazwa. Na kwa vile kabila lake msaidizi ni waoga hatimaye kamgeuka CEO na kutoa kumpa Old CEO
Mtunzi ni gwiji na ana access kubwa katika Kampuni
 
Na kwa Nchi kama Tanzania ambayo watu wake ambao tupo kama marehemu,RAIS ana uwezo wa kuchukua hata nusu ya fedha alizokopa let's say SAMIA achukue nusu ya zile 1.3 na hata Wananchi wasifanye chochote na ana uwezo wa kumuagiza Governor wa B.O.T akachukue hela yoyote anayotaka.

Sasa kwa nini uli risk position yako kwa kitu ambacho unaweza kukopata kirahisi,labda kama ana nia ya kweli ya kuikomboa Tanzania upya kama Nyerere.
 
Back
Top Bottom