Dark days 17/03/20...

mie nawajua 8 ni official .wengine pia najua wako.kwa malkia wa nyuki
 
Nammiss sana jamaa yangu[emoji24][emoji24]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yes. Now i get it. Things are getting twisted[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye leo ndio nmemaliza kusoma comments zote..hakika riwaya hii ni tamu na inavutia.

Mkuu yoga naomba utupe pia sehemu ya nini lilimfanya later CEO kumsusia branch manager wa makao makuu.

Pia kama uko na riwaya ya aliyekuwa junior branch manager wa kule kwenye jimbo la mr new culture tupatie pia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mama ake alishafariki.kijana yeye na dada ake dr s wao mama ni mtu wa bwagaheart.na anawadogo wengine bwagaheart
Kuna umbea niliusikiaga mitaani ati mama wa mtoto mchimba visima vya alizeti ni yule miaka ya nyuma alishawahi kuwa mwenyekiti kwenye mchakato wa kubadili kitabu kipya miaka ya 2014 i think. Yaani yule mama anaetoka kwenye ka kampuni kadogo, yaani pacha wa kampuni kubwa.

N.b sipendagi tu code turahisi
 
The state..ni watu gani hawa?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Deep state au inner circle ndio system au mfumo wenye watu ambao wako behind the scene, wanaendesha nchi kutokea chimbo kabisa na Wana control na manipulation ya mwenendo wote wa mustakabali wa taifa, ni vigumu sana kuwajua hata Viongoz wakubwa wengine hawanaga ufahamu na Hawa inner circle au deep state
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…