Late CEO alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa CEO bora kuliko wote. Sijui nini kilimchanganya. Mwisho wa siku amekuja kuonekana wa kiwango cha chini sana hadi Born Town anaonekana wa maana.Ni kweli wengi hawakukubaliana na siasa za jiwe, lakini naona inatumika kama excuse ya kupaka rangi mabaya aliyowahi kufanya born town.
Jiwe alifanya mengi ya ajabu hadharani, lakini hayawezi kufuta pia mabaya aliyowahi kufanya na pengine anayofanya born town. Na hapo ndio naona kuna nyuki born town wanaingia na kutumia hiyo excuse