Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Hekaya inazidi kuchukua sura mpya.... Wapenzi wasomaji tunawasubiri hiyo tarehe.Good.
Tuone hiyo tarehe nini kitajiri.
Halafu nitarejea hapa kwenye huu uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hekaya inazidi kuchukua sura mpya.... Wapenzi wasomaji tunawasubiri hiyo tarehe.Good.
Tuone hiyo tarehe nini kitajiri.
Halafu nitarejea hapa kwenye huu uzi.
Hakuna anayetawala milele, dunia hii tunakatisha njia tuACHA UJINGA bila BT hii Nchi ilitaka kua ya kishamba sana, Mwendazake angetawala Milele
Ni nani angemnyamazisha yule Dikteta aliyeko Jehanamu, kawatanguliza kna Ben saa8, Akwilina, Azory,
kazalisha wake za watanzania wenzake.
wewe ndio utatangulia Jehanamu na Borntown Peponi tunamuombea
So jpm hakuwa human? JK je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii si chai ni kahawa kabisa.Kuna kanjanja mwenzako anaitwa samurai anawalaghai watu anajifanya anayajua ya ulimwengu usioonekana.
Maneno meengiii kujitia jasusi kumbe mchawi wa kawaida sana.
Wala hakuna jipya hapo. Tunatambua, marais wengi sio BINADAMU.
Mnawalaghai laghai wajinga tu.
Jiheshimu. Acha unaaHuna lolote, tapeli mshenzi tu wewe.
hahahahaha.petit ,ndo unasumbulia wakubwa zako hv?Ya congo yamekushinda umekimbilia huku
Vip mbona meli zako haziji tena huku kuchukua mizigo mkuu ?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mimba ulipataje?Nina jinsia ya baba yako.
Current CEO Is safe now. Some how it sounds good but what about KP?
Aisee sister we ni mtu mzuri sana na ni mtarabu sana unafaa kuwa wife kama hujaolewa pia nikutakie kila la heri katika uandishi tukutane 15 August.Kwanza nikushukuru kwa kuchukua muda wako na kuisoma "hadithi" hiyo juu! Asante sana mkaka!!
Pili nikushukuru kutoa mawazo yako kuhusu "hadithi hiyo hapo juu" nashukuru sana!!
Mwisho niombe kukukumbusha hadithi ulioisoma haijamtaja mtu, au kuwazungumzia watu ambao nimeona unataka wahusisha!
Niendelee kukujulisha kuwa natambua kuwa yaweza kuwa hadithi hiyo imekukwaza niseme pole saa na haikuwa dhamira ya fanani!!
Ila kuna msemo literature is a mirror of the society!! Na kila mmoja yupo free ku interprete alichokisoma from his/her point of view!!
Ubarikiwe sana!! Tukutane 15agust 2022 kama utapenda!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Huyo wanajua jinsi ya ku deal nae cheki cdf alochaguliwa ana vina saba kitabia kbsa na mwakibolwa tuwe wapole.Current CEO Is safe now. Some how it sounds good but what about KP?
Ahsante kwa kuniita mkuu. Tupo tunangoja mwendelezo wa tamthiliya yetu.
What is a human? off course they are HUMAN because they have BODIES and they are good at pretending to be HUMAN.So jpm hakuwa human? JK je?
Nauuliza UFAHAMU wangu maswali haya, Si lazima nijibiwe.Target is locked ............
Mark the day.......
The day 20/07/2022, it is mid night, but some people arent sleeping!!
one of the historical moment in mr born town's company!
Now we can start season 2 .............
The Pandora box is opened.
Stay safe current CEO and thank God for what has just happened!! Your safe ..........
15th of Agust!! Season two itakua hapa!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
OMG! Wewe ni binadamu? Kama ni hivyo, maana yake hakuna aliye binadamu kamili kwa sababu kila mmoja ana roho ambayo mwili wake umeivaa.What is a human? off course they are HUMAN because they have BODIES and they are good at pretending to be HUMAN.
But I am talking of who they REALLY ARE beyond those bodies they wear in DISGUISE.
Wewe bado mjinga sana kwenye hizi elimu zilizo juu ya upeo wako.
Wewe ni oya oya tu unayesubiri pakuche ulale na kula. Haya mengine waachie wenye ujuvi nayo.
Baba yako aliwahi kupata mimba?Mimba ulipataje?
Baba yanvu ni Dume la mbegu, wewe ni Dunya la mbegu. Ndio nauliza hapo dunya mimba ulipataje?Baba yako aliwahi kupata mimba?
Ngoja tusubiri [emoji106][emoji106]Huyo wanajua jinsi ya ku deal nae cheki cdf alochaguliwa ana vina saba kitabia kbsa na mwakibolwa tuwe wapole.
Uwiiiii embu niepushie balaaZaa n MUSIBA
Hahaaaa!OMG! Wewe ni binadamu? Kama ni hivyo, maana yake hakuna aliye binadamu kamili kwa sababu kila mmoja ana roho ambayo mwili wake umeivaa.
Mkuu una kichwa kinafanya kazi balaa.Nauuliza UFAHAMU wangu maswali haya, Si lazima nijibiwe.
Target locked; 20 July?
1.Inspector manyota anatenguliwa, alikuwa ameset target somewhere?
2. Bt alikuwa amelenga target Mahali ameahirisha au amefail target?
3. Bt ametapika ndoano?
4.Bt amewin target nani Kwa nan?
5. Kikao kimekaa na kufikia makubaliano kumaliza uhasama?
Tusubiri simulizi, haya mambo hayataki papara.
Kwakuwa umewahi kudunywa basi unadhani mimi ndiye dunya wakoBaba yanvu ni Dume la mbegu, wewe ni Dunya la mbegu. Ndio nauliza hapo dunya mimba ulipataje?
Kama unaogopa mimba kwa nn uliibeba?Kwakuwa umewahi kudunywa basi unadhani mimi ndiye dunya wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]