Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fungua iyo vodkaZitakuwa Mbili kama Tumia akili alivoandika!
Lakini vodka ANATAKA TATU itamkost Sana!!nyumba itaomboleza!!
Covid-19 season 4 loading...
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Hawa jamaa watatua, mpaka hapa neno FDR limenitesa Sana, kwingine sawa , Hawa ndugu nao Sasa, acha watutese nafsi zao zifurahiMmmmh nimetoka kapa asee.... Mara vodka Mara winter sijui ndio midudu gan.. ....Sie wenye vichwa vigumu ngoja tumsubiri yoga tu....yogaaaaa njoo bana tunateseka huku
MkuuMkuu fungua iyo vodka
MkuuHawa jamaa watatua, mpaka hapa neno FDR limenitesa Sana, kwingine sawa , Hawa ndugu nao Sasa, acha watutese nafsi zao zifurahi
The state wanataka hii kampuni iwafaidishe watu wrote nafikiri kitabu kipya kitasaidia.pia wamemuambia kwenye episode ya mwisho hapo Bt achague kuungana nao kwenye kurekebisha mustakabali wa kampuni Kwa sababu naye bt ni Kati ya wale wanaotumia kampuni Kwa maslahi yake mwenyewe au au apoteze siku zake za kuishi nafikiri BT hatakuwa na namna zaidi ya kukubalina nao tutaona next episodes.1.Hii kampuni ni kubwa ila wanafaidi wachache je kitabu kipya kitaondoa hilo?
2. Wimbi la nne linahusikaje katika mabadiliko haya?
Oky, so kama jamaa kama atakaza kuendelea kulinda ulaji wake na kundi la wachache ndo wimbi la nne litapita nae au sio?The state wanataka hii kampuni iwafaidishe watu wrote nafikiri kitabu kipya kitasaidia.pia wamemuambia kwenye episode ya mwisho hapo Bt achague kuungana nao kwenye kurekebisha mustakabali wa kampuni Kwa sababu naye bt ni Kati ya wale wanaotumia kampuni Kwa maslahi yake mwenyewe au au apoteze siku zake za kuishi nafikiri BT hatakuwa na namna zaidi ya kukubalina nao tutaona next episodes.
Ngoja tuone kwa sababu hao the state ni watu wenye nguvu Sana.Oky, so kama jamaa kama atakaza kuendelea kulinda ulaji wake na kundi la wachache ndo wimbi la nne litapita nae au sio?
Definitely...Tanzania njema is a must project; none can do otherwise, come rain come sunshine, its done 10 years ago. Ni utekelezaji tu na manifestation of physical appearance...sote tuseme AMEN!I think those ten people of state will succeed they want to fix this country.
AmenDefinitely...Tanzania njema is a must project; none can do otherwise, come rain come sunshine, its done 10 years ago. Ni utekelezaji tu na manifestation of physical appearance...sote tuseme AMEN!
AmenDefinitely...Tanzania njema is a must project; none can do otherwise, come rain come sunshine, its done 10 years ago. Ni utekelezaji tu na manifestation of physical appearance...sote tuseme AMEN!
Mi ile rasimu inaniboa kwasababu ina lundo la viongozi wakuu bt maeneo mengine iko njemaRASIMU alosimamia Judge WARIOBA inarudi mezani na marekebisho kdg yanafanyika hatimaye tunapata KITABU kipya.
Maridhiano yanaleta positive impact ktk KAMPUNI. VODKA asibezwe ni game changer. Ni mmoja wao.
Ameeeen
R nNo, winter IPO endapo tu watakataa njia ya kitabu kipya.
VODKA yupo yupo sana, Wazr mkubwa wa Nyikani.
Ameeen.
Mkuu naona Kuna sehemu umemuita wazir mkuu wa nyikan vipi Kuna kitu kipo jikoni nini watu wanasubili kuwekwa kwenye plate wale?Mr new culture who was imprisoned as a terrorists is Mr vodka!!!decoded
3Kwahio zitakuwa 3 au 2?
Ushahidi wa maneno yako ni upi.RASIMU alosimamia Judge WARIOBA inarudi mezani na marekebisho kdg yanafanyika hatimaye tunapata KITABU kipya.
Maridhiano yanaleta positive impact ktk KAMPUNI. VODKA asibezwe ni game changer. Ni mmoja wao.
Ameeeen
Mkuu refer Magamba matatu alimtaja Huyo Jamaa atakuwa Hivyo Hivyo bila kujali ni party GANI itakuwa imeshika hatamu!!Mkuu naona Kuna sehemu umemuita wazir mkuu wa nyikan vipi Kuna kitu kipo jikoni nini watu wanasubili kuwekwa kwenye plate wale?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app