Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mmmmh nimetoka kapa asee.... Mara vodka Mara winter sijui ndio midudu gan.. ....Sie wenye vichwa vigumu ngoja tumsubiri yoga tu....yogaaaaa njoo bana tunateseka huku
Hawa jamaa watatua, mpaka hapa neno FDR limenitesa Sana, kwingine sawa , Hawa ndugu nao Sasa, acha watutese nafsi zao zifurahi
 
1.Hii kampuni ni kubwa ila wanafaidi wachache je kitabu kipya kitaondoa hilo?
2. Wimbi la nne linahusikaje katika mabadiliko haya?
The state wanataka hii kampuni iwafaidishe watu wrote nafikiri kitabu kipya kitasaidia.pia wamemuambia kwenye episode ya mwisho hapo Bt achague kuungana nao kwenye kurekebisha mustakabali wa kampuni Kwa sababu naye bt ni Kati ya wale wanaotumia kampuni Kwa maslahi yake mwenyewe au au apoteze siku zake za kuishi nafikiri BT hatakuwa na namna zaidi ya kukubalina nao tutaona next episodes.
 
Oky, so kama jamaa kama atakaza kuendelea kulinda ulaji wake na kundi la wachache ndo wimbi la nne litapita nae au sio?
 
Mkuu naona Kuna sehemu umemuita wazir mkuu wa nyikan vipi Kuna kitu kipo jikoni nini watu wanasubili kuwekwa kwenye plate wale?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu refer Magamba matatu alimtaja Huyo Jamaa atakuwa Hivyo Hivyo bila kujali ni party GANI itakuwa imeshika hatamu!!

Tusubiri!
 
Back
Top Bottom