Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hii thread ilivamiwa na kundi moja matata sana, na wengine wenye multiple IDs [emoji23][emoji23][emoji23], ila sasa walichelewa sana maana episode 1-5 ilikua imebeba content nzima ya uzi, huku kwingine yalikua ni mazungumzo baada ya habari tuu,

Wacha Uzi uishe hata hivo hauna maana [emoji706][emoji706]
 
Kuna xposure kubwa sana anapitia mtoa mada basi tu awez kuwa muwazi lkn nia yake ilikuwa nzuri sana kwetu na kizaz kijacho,ubarikiwe sana madam yoga tutakuenzi kwa uthubutu wako maridadi na kujitoa kuweka wazi ila na fitina za watanza-wenye nia...uzi wangu bora kwa mwaka huu acha tuungane na stori za ~o) mpwayungu village na VIKITIM ambae anaenda kugeuzwa jinsia.
 
Back
Top Bottom