Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Soma huo uzi mwa/mwi kuna sehemu walisema tusubiri tarehe hiyo.Kuna nini? Mi mgeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma huo uzi mwa/mwi kuna sehemu walisema tusubiri tarehe hiyo.Kuna nini? Mi mgeni
Kama umesoma huu uzi mwanzo mpaka hapa, huo ilikua sehemu ya kwanza.
20/03 /2023 kwa mujibu wa mleta mada ita kua ni muendelezo wa hii hadithi au itakua sehemu ya pili.
Mzee Mwanakijiji alikuwa anakuja na style ya ka INZIMsamiati wa ubuyu umepotea, au ulikuwa msamiati wa msimu?
That's the damage truth can inflict on someone.Once you "see",you can't "unsee" again .Kuna watu siwaoni kama nilivyokua nawaona awali, hata wakiongea siwaelewi kama nilivyokua nawaelewa awaliView attachment 2541172
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza Tumia I'd nyingine!Jamaa kala pin....
Ila Nina Imani nae hawezi kutuangusha tumpe ka-muda maana siku haijaisha.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo baba aliyerudi anayepiga kasia mbali gizani ni BT au yule mwenye msalaba mkubwa pale vaticanino au Odii?
Code ni ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23]