Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

Halafu wewe unavipata kwa njia gani mfano ukiwa arusha. Transportation yake ikoje toka huko darkweb hadi ngarenaro matejoo nk
Ukishalipa kwa bitcoin au cryptocurrency yoyote , mzigo utakufikia ulipo ,na ingawa pia sometimes inategemea na arangement ya malipo kwa muuzaji na makubaliano yenu ,wengine wanataka ulipe mzigo ukikufikia ,wengine ulipe kabla mfano umeamua kununua bastola expensive kama Glock 17 Kwa bei rahisi (Kitonga ) ya dark web let's say dollar 200 , unapolipa muuzaji anakuelekeza nenda location flani iliyo karibu na wewe au unaletewa mzigo ulipo .
Wewe hutajua wametumia umafia na uhuni gani kusafirisha huo mzigo haramu huko kote mpaka ukufikie
Siri ya kambi hiyo
 
Je niwaaminifu kiasi hicho? Maana wasipokutumia huwezi washtaki pia!
 
Aisee naendele kustaajabu....naomba kujuzwa kama naweza kuingia na kupata maarifa ya kimasomo, vitabu adimu na maarifa ya utundu/tricks mbalimbali katika matumizi ya teknolojia...
 
Unataka watu waseme wanaingia sites zipi ili watafutwe??mkuu kama umeweza kuingia sio mbaya, taratibu utapata unachotafuta,kwa dollar Tano unaweza kununua KADI ya bank yenye dollar 1000, ukafanya matumizi mtandaoni,but if you get busted,25 to life jela.. nishawahi fanya hivyo zaidi mara Moja kupitia xxx*. onion
Unavyosema matumizi mtandaoni unamaanisha unaweza hata kulipia mzigo Alibaba?
 
Wanaiba KADI yangu wanakuuzia wewe
Yaani kuna mamafia wakishapata details Tu Ile ccv , name na zile tarehe ,umekwisha , kuna miamba wanachonga hadi lile li card na ukitaka unaletewa kabisa , ila kwa dunia ya leo ni risk kufanya payments au kuwithdraw pesa physically Kwa kutumia credit card ya wizi kukamatwa ni rahisi maana hizi ATM au swap payment machines zenyewe ni spying equipment ,na zina store taarifa ,so ni rahisi vyombo vya dola kutrack movement zako kama utawithdraw pesa kwa atm au kufanya malipo kwa kuswap card ,ndio maana wengi wanaamua kununua vitu online ili waviuze wavibadilishe kwenda kwenye cash
 
Back
Top Bottom