Umenikumbusha mwamba wa kuitwa Jeffrey Edward Epstein,alikua na kisiwa kinaitwa The Virgin island,humo underage warembo matajiri wa Dunia wanaenda kula Bata,,aliposhikwa scandal ikawa kubwa sana maana marafiki zake aliokua anakula nao Raha , Donald trump, Mfalme wa Saudi Arabia,Bill Clinton, Prince Andrew,P DIDDY list ndefu,,
Alikubali kuwataja washirika wake kwenye plea deal, Bahati mbaya akafa gerezani kwa Kujinyonga,,hah story zinasema hakujinyonga,wakubwa wamemziba mdomo ,kafa mwaka 2019 na utajiri wa mabilioni ,chanzo Cha mapato hakijulikani,rafiki wa watu maarufu DUNIANI...