Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Dunia imeenda mbali sana, probably ndio hawa test tube babies...wasio na wazaz wala walezi.Mpk leo huwa sijui wanawapataje wale watoto maana ni wadogo kweli kweli na wanawavutisha hadi shisha ,sijui iweje