Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sheria mbona iliwekwa kitambokwahiyo magari ya ulinzi na usalama yakiwa ktk opperation basi yanatakiwa yawe yameombewa kupita kwa DART[emoji28][emoji28].
kwakweli nimeupenda huu utawala wa sheria,ni mzuri sana ila nasubiri pale wamepata matatizo ya kisheria humo kwenye mradi wanaingiaje polisi kutoa taarifa bila kuwa na kibali cha polisi[emoji23][emoji23]
atawekwa mtu mahabusu asijue kosa lake ni lipi.
Kila mtu atii sheria bila shurutiMandata wawe wanaomba kibali
Wajinga sana hao DART, haiwezekani magari ya Polisi na JWTZ kupita lazima wapate kibali mahalum.
Ms I we mna rukia vitu.FFU walikua sahihi.
Wajinga sana hao DART, haiwezekani magari ya Polisi na JWTZ kupita lazima wapate kibali mahalum.
Ipo siku miongoni mwao watavamiw na Panya Road alafu wakahitaji msaada wa Askari Polisi wakafika eneo la tukio baada ya lisaa
... Polisi wakiwa kwenye magari rasmi ya ofisi sidhani kama ni sahihi kuzuiwa kupita kwenye barabara za mwendo kasi. Wale maboss wenye magari yao binafsi mtu amechelewa kuamka huko anajifanya anawahi hata kama ana uniform marufuku kukatiza.Ms I we mna rukia vitu.
Soma vizuri, polisi ni kwa kibali maalum!! Pia msemaji wa jeshi la polisi amesha toa tamko na kukemea polisi walio lazimisha kupita
Tunahitaji utekelezaji katika hili #Polisi mara zote huonekana wako juu ya sheriaKwakweli nimeupenda huu utawala wa sheria,ni mzuri sana ila nasubiri pale wamepata matatizo ya kisheria humo kwenye mradi wanaingiaje polisi kutoa taarifa bila kuwa na kibali cha polisi![]()
![]()
atawekwa mtu mahabusu asijue kosa lake ni lipi.
Miundombinu ya BRT ni restricted use, lakini yakipita kwenye miundombinu ambayo ni unrestricted ni sawa kisheria.... ila mabasi ya DART yanaruhusiwa kupita katika barabara nyingine bila kibali chochote! Sawa.
... polisi kuvunja sheria huo ni udhaifu mwingine japo hauondoi ukweli kwamba polisi ni miongoni mwa taasisi chache zenye namba za dharura duniani kote - Polisi, Fire, Ambulance. Hao ni exceptional.Nashindwa kuelewa kwa nini watu wanawatetea polisi hapa, wakati ndio wa kwanza kuvunja sheria.
Polisi watii sheria bila shurti kama wao wanavyotutaka kufanya.
Tuanzie hapo mdogomdogo tutafikaKwakweli nimeupenda huu utawala wa sheria,ni mzuri sana