Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesema MAGARI mkuu.. kwahiyo punda, fisi ,farasi,ngo'mbe na bodaboda ruksa.Safi muwanyooshe bodaboda
Ova
Huu utakuwa ni ujinga kuwazuia Polisi wakiwa kazini kwenye magari ya Polisi.Nadhani polisi wamesikia, bila kibali maalum , hata kama kunadharula ,hakuna kupita huko.
Polisi hawa ambao ukifanyiwa Uhalifu wanakugeuza chanzo cha mapato kwa kigezo cha kukusaidia kumkamata Mhalifu?Wajinga sana hao DART, haiwezekani magari ya Polisi na JWTZ kupita lazima wapate kibali mahalum.
Ipo siku miongoni mwao watavamiw na Panya Road alafu wakahitaji msaada wa Askari Polisi wakafika eneo la tukio baada ya lisaa
Wale siyo machizi,walikua na haraka,Na aMs I we mna rukia vitu.
Soma vizuri, polisi ni kwa kibali maalum!! Pia msemaji wa jeshi la polisi amesha toa tamko na kukemea polisi walio lazimisha kupita
Yaaani polisi akaombe kibali,aende kwenye operesheni ya haraka?Siku DART watakapohitaji msaada wa haraka,ndiyo hao FFU ni nani na kibali kitachukua muda gani kupatikana.Ms I we mna rukia vitu.
Soma vizuri, polisi ni kwa kibali maalum!! Pia msemaji wa jeshi la polisi amesha toa tamko na kukemea polisi walio lazimisha kupita
kwani ukiambiwa kuomba kibali ni hadi ichukue miaka mingapi kutoka?.tusitake kuendekeza urasimu bila sababu.Mazingira ya dharura huwa yanajulikana.imewekwa kuomba kibali ili polisi wasitumie hiyo nafasi vibaya kwasababu shughuli za polisi nizakila siku lakini dharura sio kila siku.Wale siyo machizi,walikua na haraka,Na a
Yaaani polisi akaombe kibali,aende kwenye operesheni ya haraka?Siku DART watakapohitaji msaada wa haraka,ndiyo hao FFU ni nani na kibali kitachukua muda gani kupatikana.
Ni kiburi tu cha watu na kujiona untouchables, utakuta mtu kisa anafahamiana tu na mtoto wa rais, labda waliwahi kukutana airport wakazungumza kidogo, anajiona yupo juu ya kila kitu. Ni shida sana hawa watuHii sheria mbona iliwekwa kitambo
Na inajulikana
Ova
Kuwa exceptional sio kuwa juu ya sheria... polisi kuvunja sheria huo ni udhaifu mwingine japo hauondoi ukweli kwamba polisi ni miongoni mwa taasisi chache zenye namba za dharura duniani kote - Polisi, Fire, Ambulance. Hao ni exceptional.
ni polisi wenyewe, si wapo humu pia.Nashindwa kuelewa kwa nini watu wanawatetea polisi hapa, wakati ndio wa kwanza kuvunja sheria.
Polisi watii sheria bila shurti kama wao wanavyotutaka kufanya.
Hizo barabara nyingine ni kwa gari zote mkuu, hakuna restriction!... ila mabasi ya DART yanaruhusiwa kupita katika barabara nyingine bila kibali chochote! Sawa.
huyo mhalifu naye atakuwa anapita kwenye njia ya mwendokasi?Hao polishi kama wanafukuzia wahalifu watakuwa na muda wa kuja kuomba kibali hapo DART au watamwambia kaka jambazi asimame kidogo waombe kibali DART waendelee kumfukuza.....
Na inaw ezekanaje mt kuwekwa maabusu na asijue kosa lake..??atawekwa mtu mahabusu asijue kosa lake ni lipi
... mhalifu anachagua pa kupita kaka?huyo mhalifu naye atakuwa anapita kwenye njia ya mwendokasi?
akipita huko ni dharura tayari lazima afuatwe... mhalifu anachagua pa kupita kaka?
Uneongea points sana mkuuNchi hii kuna matatizo makubwa sana ya kuondoa umasikini, maradhi na ujinga; sasa kuna panya road wameibuka kama zao la ukosefu wa ajira (shughuli za vijana kufanya wapate mkate wa kila siku);
haya yote hayajapata ufumbuzi, watu wako busy na nani apite kwenye barabara ya mwendo kasi.
Surprisingly, ukitoa magari ya mwendokas yanayopita ambayo yamebeba walalahoi, wanaogombania kupita kwenye barabara na magari yao wengi na wenye mamlaka. Picha zinazosambaa au walio barabarani wanaona nani anaekatiza kinyume cha sheria.
Kuna shida sana nchi, mambo major kama kuhakikisha Dar na Tanzania inakuwa sehemu salama ya kuishi, taasisi za umma zinatunishiana misuli barabarani.
Mawaziri wa kisekta wako wapi kutoa mwelekeo kwa manufaa ya umma wa Watanzania?
Badala ya kuwa na mjadala mkali na huru wa hatua za msingi zifanyike kuongeza magari barabarani kwa lengo la kuboresha usafiri, abiria wake na magari yawe yanaondoka vituoni kwa muda na abiria wote wawe wameketi kwenye viti, story iliyopo ni kama funika kombe mjadala wa kufuta tozo uishe.
Nchi hii, tuna safari ndefu kweli
Exceptionality nayoizungumzia mimi Polisi, Fire, Ambulance waruhusiwe kisheria kupita njia za mwendokasi; simaanishi wavunje au kuwa juu ya sheria.Kuwa exceptional sio kuwa juu ya sheria