-sasa kama wanafukuza jambazi halafu wanatumia hiyo njia ya mwendokasi, halafu likatokea basi la mwendokasi linakuja kwa mbele yao tena kwa kasi, na huku police wako kasi,nini kitatokea?
- Essense ya kuomba/kutoa taarifa DART ni kwa hao DART, kuzuia mabasi yasitumie hiyo njia kwa muda kwa sabbu kuna magari ya police ili kuepusha Collision .
-Unakimbiza jambazi halafu hujatoa taarifa DART ili wasimamishe mabasi yao yapaki pembeni na kuCancel safari kwa muda.
Kwa hiyo hao madereva wa DART hawana macho, au ukishaendesha mwendoksi basi wewe ruksa kufumba macho usione chochote kinachokuja mbele......kumbe ndo maana wanagonga bodaboda, tayari wameshajikuta madereva wa treni.