DART: Magari pekee yanayoruhusiwa kutumia njia za Mwendokasi

Juzi nilikuta kama mzozo maeneo ya magomeni au manzese, cha ajabu nikaona kama gar la polisi ndo limezuiwa/simamishwa, kifupi sikuelewa nini kinaendelea, leo ndo napata mwanga.
 
Nchi yetu ubunifu zero,tunajaza tu matozo matozo.......hiyo mwendokasi ni chanzo cha mapato kabisa.......vingekuwepo vibali vinatolewa Kwa watu binafsi kama TRA wanavyoruhusu majina binafsi kuandikwa kwenye plate number,mtu analipa labda 2millioni Kwa mwezi anakuwa na kibali Cha kupita mwendokasi........walio maofisini acheni uvivu wa kufikiria..........


NB: Nadhani mwendokasi magari kama ambulance au gari lolote lililobeba mgonjwa serious,ya Fire yangeruhusiwa tu kutumia hata Kwa vibali maalum pia au iwe free tu
 
Itoshe tu kusema, tunaweza kwa namna moja/nyingine tumeondokana na maradhi na umaskini, Lakini ujinga bado upo miongoni mwetu na unazidi kushamili.

~Ahsante
 
Wajinga sana hao DART, haiwezekani magari ya Polisi na JWTZ kupita lazima wapate kibali mahalum.

Ipo siku miongoni mwao watavamiw na Panya Road alafu wakahitaji msaada wa Askari Polisi wakafika eneo la tukio baada ya lisaa
Polisi hawa ambao ukifanyiwa Uhalifu wanakugeuza chanzo cha mapato kwa kigezo cha kukusaidia kumkamata Mhalifu?
 
Ms I we mna rukia vitu.
Soma vizuri, polisi ni kwa kibali maalum!! Pia msemaji wa jeshi la polisi amesha toa tamko na kukemea polisi walio lazimisha kupita
Wale siyo machizi,walikua na haraka,Na a
Ms I we mna rukia vitu.
Soma vizuri, polisi ni kwa kibali maalum!! Pia msemaji wa jeshi la polisi amesha toa tamko na kukemea polisi walio lazimisha kupita
Yaaani polisi akaombe kibali,aende kwenye operesheni ya haraka?Siku DART watakapohitaji msaada wa haraka,ndiyo hao FFU ni nani na kibali kitachukua muda gani kupatikana.
 
Wale siyo machizi,walikua na haraka,Na a

Yaaani polisi akaombe kibali,aende kwenye operesheni ya haraka?Siku DART watakapohitaji msaada wa haraka,ndiyo hao FFU ni nani na kibali kitachukua muda gani kupatikana.
kwani ukiambiwa kuomba kibali ni hadi ichukue miaka mingapi kutoka?.tusitake kuendekeza urasimu bila sababu.Mazingira ya dharura huwa yanajulikana.imewekwa kuomba kibali ili polisi wasitumie hiyo nafasi vibaya kwasababu shughuli za polisi nizakila siku lakini dharura sio kila siku.
 
Hii sheria mbona iliwekwa kitambo

Na inajulikana

Ova
Ni kiburi tu cha watu na kujiona untouchables, utakuta mtu kisa anafahamiana tu na mtoto wa rais, labda waliwahi kukutana airport wakazungumza kidogo, anajiona yupo juu ya kila kitu. Ni shida sana hawa watu
 
... polisi kuvunja sheria huo ni udhaifu mwingine japo hauondoi ukweli kwamba polisi ni miongoni mwa taasisi chache zenye namba za dharura duniani kote - Polisi, Fire, Ambulance. Hao ni exceptional.
Kuwa exceptional sio kuwa juu ya sheria
 
Nashindwa kuelewa kwa nini watu wanawatetea polisi hapa, wakati ndio wa kwanza kuvunja sheria.

Polisi watii sheria bila shurti kama wao wanavyotutaka kufanya.
ni polisi wenyewe, si wapo humu pia.
 
Hao polishi kama wanafukuzia wahalifu watakuwa na muda wa kuja kuomba kibali hapo DART au watamwambia kaka jambazi asimame kidogo waombe kibali DART waendelee kumfukuza.....
huyo mhalifu naye atakuwa anapita kwenye njia ya mwendokasi?
 
Uneongea points sana mkuu
 
Kuwa exceptional sio kuwa juu ya sheria
Exceptionality nayoizungumzia mimi Polisi, Fire, Ambulance waruhusiwe kisheria kupita njia za mwendokasi; simaanishi wavunje au kuwa juu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…