Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile.
Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez kweli ulipe Euro 75m na Antony ulipe Euro 95m?
Madrid walimnunua Toni Kroos kwa Euro 25m.