Yuko sahihi.Yakweli haya? Sijawahi kuyasikia.
Sio kweli. Toni Kroos alitaka mshahara mkubwa kuliko ambao Bayern walikuwa tayari kumpatia kipindi kile ( alitaka kulipwa sawa na Mario Gotze) akiwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja.Toni mwenyewe ndiye aliweka hicho kipengere kama madrid watamuhitaji...
Kama angesaini man utd/juventus hela ilikua 55mil
Hapo point ni kwamba pesa ya juu ilifidiwa na alonsoSio kweli. Toni Kroos alitaka mshahara mkubwa kuliko ambao Bayern walikuwa tayari kumpatia kipindi kile ( alitaka kulipwa sawa na Mario Gotze) akiwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja. Bayern kwa kutaka kuonesha klabu ni kubwa kuliko mchezaji wakaamua kumuuza kwa bei nafuu sokoni ili kutuma ujumbe kwa wachezaji wenzake na pia wakampata Xabi Alonso in exchange . Ndio maana mpaka leo hii Kroos haelewani na viongozi wa Bayern Munichen