DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

Muongo huyo... maDAS kibao wana degree mojamoja tena wengi wamesoma pale mzumbe moro. Alitaka tujue kama yeye ana Masters, lakini masters kwenye nn na inaendana na hicho anachoenda kufanya? Kule clouds alishindwa kuwa hata mbunifu wa kipindi cha kwake mwenyewe... kile kipindi cha clouds360 kilikuwa kinaongozwa na Babie Kabaya yeye na masters yake alikuwa anatumwa kama messenger tu....
 
Ni mjinga hana lolote, sifa sifa za kijinga ilianekane yeye ni mtu special Tz
Muongo huyo... maDAS kibao wana degree mojamoja tena wengi wamesoma pale mzumbe moro. Alitaka tujue kama yeye ana Masters, lakini masters kwenye nn na inaendana na hicho anachoenda kufanya? Kule clouds alishindwa kuwa hata mbunifu wa kipindi cha kwake mwenyewe... kile kipindi cha clouds360 kilikuwa kinaongozwa na Babie Kabaya yeye na masters yake alikuwa anatumwa kama messenger tu....
 
Huyo kavimbiwa sifa tu,masters na PhD wamejaa huko kwenye kuteuliwa ila wanachofanya bora wenye certificate ya sayansi kimu.
 
Exposure ni muhimu sana huyo bwana mdogo anaanza kuonesha mwanzo kabisa jinsi alivyo incompetent hizo masters zinazoangaliwa ni za western kama za kina Mo au Makamba au hizi hizi za jalalani na Udom?
 
Masters au degree ni ileile iwe ya western au huko unaposema. Inategemea na mtu aliyeipata je ameiva kweli kweli? Maana material ni yale yale tu.
 
We endelea kujidanganya ivo ivo basi tuseme pia Sekondari ndio hio hio iwe Kayumba au international inategemea mtu kaiva vipi hahah, Exposure mkuu watu waliosoma western wakirudi hata the way wanavyona dunia na wewe wa jalalani ni tofauti kabisa, Exposure Exposure
 
mwenyewe anjikutaga ile yaani ileee yaani ileeeeeeeeeeeee...wakati sie tunamchukulia tu kistaarabu yaan kistaarabu tu
 
We endelea kujidanganya ivo ivo basi tuseme pia Sekondari ndio hio hio iwe Kayumba au international inategemea mtu kaiva vipi hahah, Exposure mkuu watu waliosoma western wakirudi hata the way wanavyona dunia na wewe wa jalalani ni tofauti kabisa, Exposure Exposure
Unajidanganya sana. Kwani Economics inayofundishwa kayumba na ya international school tofauti? Kinachomata ni Iq tu bro. Exposure ni ishu nyingine na dunia ya leo imekuwa kama kijiji. Mtu wa karagwe anajua kila kitu cha Usa.
 
Mabatamzinga wanakwaida ya kujitutumua sana kama kinga ya ubazazi wao.
 
Back
Top Bottom