Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Mkuu ficha ujinga wako mimi nimesoma Engineering bongo ambapo Module zinaweza kuwa same na za MIT ila sasa hemu njoo kwenye analysis ndio ujione ulichoandika ni irrelevantUnajidanganya sana. Kwani Economics inayofundishwa kayumba na ya international school tofauti? Kinachomata ni Iq tu bro. Exposure ni ishu nyingine na dunia ya leo imekuwa kama kijiji. Mtu wa karagwe anajua kila kitu cha Usa.
Kwanza inshu ya practical tu ni shida hakuna labs wala Vifaa vya kufanyia izo practical
Class unakuta liko full watu wamejaa balaa hakuna ile participation nzuri kati ya lecturer na Student
Tatu hao Wakufunzi wenyewe unakuta Mtu ana degree anafundisha watu wa degree due to shortage ya walimu yani hakuna Cha sijui proffesor chuo unakuta proffesor wanahesabika nao wana base na inshu za administration class huwaoni kiivo
Apo sijakupa ata overview ya mizingira tu na vitu kibao
Mwishoni utafananisha na Vyuo vyenye Enough resource kuanzia Labs, Library na Conducive environment afu Kuna machalii niliwahi kukutana nao kwenye joint project yani wao tuition fees to ni 33M per year ambapo bado direct cost Iyo ni US utafananisha na tuitio fee 1.3M kwa vyuo vya Tanzania