DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

SIFA ZA MTU KUTEULIWA KUWA DAS KWA MUJIBU WA MUUNDO WA UTUMISHI WA UMMA.
1. Awe mtumishi wa umma mwenye cheo cha Afisa Mkuu (Principle Office mfano Principle Administrative Officer.
2.Awe ameshafanya kazi Serikalini kwa muda wa Miaka isiyopungua 12
3. Kwa mujibu wa OPRAS yake awe mtumishi mchapakazi na mwenye tabia njema.
4. Awe na elimu ya shahada ya Chuo Kikuu inayohusiana na Utawala ,Sheria,Sociology,Uchumi, Raslimali Watu, Serikali za mitaa,

hawa ma DAS wa kipindi hiki cha magu wameteuliwa kisiasa na wala hawana sifa za kuwa ma DAS
nimemzarau sana Dr Ndumbaro na ma thoeries yake ya organization eti mwenyewe alikuwa anafundisha meritocratic principles in promotion or appointment udsm kitu ambacho sasaivi akipractise.

Hivyo hawa Ma DAs akina Hasan Ngoma ,Mtoto wa Michuzi, Das Rombo, Das Bagamoyo, akina Mtela waliotumbuliwa etc (Magu ameagiza apewe cheo cha chini katika utumishi wa umma vyeo ambavyo kwa mujibu wa sheria sasa hivi vinatolewa kwa njia ya ushindani kupitia sekretarieti ya ajira, , yaani nasubiri kusikia amepewa cheo gani mtu ambaye hakuwahi kuwa mtumisi wa umma manake angekuwa ameteuliwa kiutaratibu angerudiswa kwenye cheo chake cha uprinciple kama taratibu zinavyotaka .

WOTE HAO NA WENGINE WENGI WALIOTEULIWA KIPINDI CHA MAGU KWENYE NAFASI ZA UTENDAJI IKIWEMO UDED HAWANA SIFA ZA KUTEULIWA KWENYE NAFASI HIZO ISIPOKUWA WAMETEULIWA KISIASA KINYUME KABISA NA MIONGOZO ILIYOPO OFISI YA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA KUHUSU SIFA ZA MTU KUWEZA KUTEULIWA KWENYE NAFASI IZO
Walioweka hizo sifa hawakuwa wajinga kuna kitu walikiona.....Tatizo Jiwe na Serikali yake wanavidharau hivi vyeo vya chini serikalini. Ukiangalia wengi wa madas hawana sifa ya 1 & 2... Hizo sifa ndizo zinazowafanya kuwa karibu kabisa na wananchi. Kinyume chake wamekalia tu kuvaa suti na kaunda huku wananchi wakimsubiri rais apite ili wamweleze shida zao na rais anaonekana yeye ndiye anayefanya kila kitu.
 
Ni hiko kimasters kumbe ndio kinakupa jeuri

Usijali Mkuu kuna Mtu wangu Mmoja huko huko Singida anakoenda kuwa DAS nina uhakika ' atamalizana ' nae vizuri sana tu ' Ndumba ' Kali mno.
 
Hassan anakazi sana aiseee,alipopogwa kipapai,basi busha hilo, linakuja

Sasa kama huyu Babu yake Jamaa yangu ndiyo ' Kairogea ' Simba yangu hadi Kuifunga Yanga Juzi zile Goli 4 kwa 1 huyo DAS si atakimbia huko?
 
Akiamkia kwenye tundu la choo cha shimo itakuwa vyema zaidi

Mkuu unaonekana una ' Doctorate / PhD ' ya Roho Mbaya na Ukatili uliyoachiwa kama Urithi na Mwandamizi wa hiyo Tabia Hayati Idi Amin Dada.
 
Mkuu unatumia effort kubwa sana kujibu watu wajinga humu
Effort au upuuzi na wewe utakuwa mpuuzi tu. Kwani Civil engineerig ya Us na hapa ni tofauti? Kwa nini usome chuo hakina lab test wakati Tcu na dunia nzima wanasema ni takwa la lazima! Kwani kulipa tuition fee kubwa ndio kupata elimu nzuri? Kwani bunsen burner ya Kayumba na shule za international zipo tofauti?
Mtu ambaye hajui kuwa Iq ndio uwezo wa kuelewa na kujifunza ndio unampandisha kichwa?
 
Mkumbusheni tu huko aendako atakuwa chini ya DC na ofisi yake inaweza isiwe hata na kiyoyozi
 
Back
Top Bottom