DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

DAS Hassan Ngoma: Kumsifia Rais Magufuli siyo kigezo cha kukuteua

KUMSIFIA JPM SIO KIGEZO CHA KUKUTEUA- HASSAN NGOMA

" Kigezo cha kusifia Mh. Rais sio njia ya kuteuliwa wangeteuliwa watu wengi sana, lakini Mh. Rais anachoangalia ni vyeti, kama unakuwa Kiongozi huna masters sahau kuteuliwa ngazi ya kuwa Kiongozi, cha kwanza ni sifa " @hassanngoma360, Katibu Tawala wilaya ya Singida.

View attachment 1506338
Source: Cloudstvtz

=========

Hapo hata bado hajaanza Kazi na Kuijua Wilaya yake ya Singida ilivyo ameshaanza ' Nyodo ' na ' Dharau ' hivi. Kazi ipo na tutamkoma DAS huyu!
Mtumishi wa umma katika ubora wake. Watumishi wenzake wenye Masters na experience watamwelekeza kazi za utawala.
 
Mkuu ficha ujinga wako mimi nimesoma Engineering bongo ambapo Module zinaweza kuwa same na za MIT ila sasa hemu njoo kwenye analysis ndio ujione ulichoandika ni irrelevant
Kwanza inshu ya practical tu ni shida hakuna labs wala Vifaa vya kufanyia izo practical
Class unakuta liko full watu wamejaa balaa hakuna ile participation nzuri kati ya lecturer na Student
Tatu hao Wakufunzi wenyewe unakuta Mtu ana degree anafundisha watu wa degree due to shortage ya walimu yani hakuna Cha sijui proffesor chuo unakuta proffesor wanahesabika nao wana base na inshu za administration class huwaoni kiivo
Apo sijakupa ata overview ya mizingira tu na vitu kibao
Mwishoni utafananisha na Vyuo vyenye Enough resource kuanzia Labs, Library na Conducive environment afu Kuna machalii niliwahi kukutana nao kwenye joint project yani wao tuition fees to ni 33M per year ambapo bado direct cost Iyo ni US utafananisha na tuitio fee 1.3M kwa vyuo vya Tanzania
Wa Tz wanasoma slides mwanzo mwisho
 
Kumbe dunia ya leo bado watu wanaabudu vyeti? Ndio maana madudu ayaishi.
Magu ndo muumini namba moja wa vyeti ndo maana Kuna mtu alichallenge cheti chake akaambulia kupotea
 
mwenyewe anjikutaga ile yaani ileee yaani ileeeeeeeeeeeee...wakati sie tunamchukulia tu kistaarabu yaan kistaarabu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ileeeeeeeee
 
Kusifia, kuwakomoa kuwashughulikia kuwabeza kuwatukana wapinzani ndo first priority vingine ni ziada
 
KUMSIFIA JPM SIO KIGEZO CHA KUKUTEUA- HASSAN NGOMA

" Kigezo cha kusifia Mh. Rais sio njia ya kuteuliwa wangeteuliwa watu wengi sana, lakini Mh. Rais anachoangalia ni vyeti, kama unakuwa Kiongozi huna masters sahau kuteuliwa ngazi ya kuwa Kiongozi, cha kwanza ni sifa " @hassanngoma360, Katibu Tawala wilaya ya Singida.

View attachment 1506338
Source: Cloudstvtz

=========

Hapo hata bado hajaanza Kazi na Kuijua Wilaya yake ya Singida ilivyo ameshaanza ' Nyodo ' na ' Dharau ' hivi. Kazi ipo na tutamkoma DAS huyu!
Ndio ukweli
 
Back
Top Bottom