Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Mkuu ficha ujinga wako mimi nimesoma Engineering bongo ambapo Module zinaweza kuwa same na za MIT ila sasa hemu njoo kwenye analysis ndio ujione ulichoandika ni irrelevantUnajidanganya sana. Kwani Economics inayofundishwa kayumba na ya international school tofauti? Kinachomata ni Iq tu bro. Exposure ni ishu nyingine na dunia ya leo imekuwa kama kijiji. Mtu wa karagwe anajua kila kitu cha Usa.
Wewe ambaye haukuzungusha una nini? Kwani kuzungusha ndio kufeli maisha?Ole alizungysha A level
We ulienda kusoma degree chuo gani? Ambacho Eng hawana hata lab? St Joesph au Udsm? Na ulitaka utafuniwe kila kitu wakati upo Uni? Kuna watu wa western wanakuja kufanya kazi hapa ni weupe kama wewe ulivyo. Ndio maana mnaweza kumaliza darasa watu mia lakini competence ikawa tofauti kwa kila mtu. Kwenye elimu Iq ina mata sana. Ila wewe sababu ni mbumbumbu ambae Iq yako ni 1 ndio maana ulisoma chuo hakina standard ambazo Tcu wameweka kwa engineeringMkuu ficha ujinga wako mimi nimesoma Engineering bongo ambapo Module zinaweza kuwa same na za MIT ila sasa hemu njoo kwenye analysis ndio ujione wewe ni bure
Kwanza inshu ya practical tu ni shida hakuna labs wala Vifaa vya kufanyia izo practical
Class unakuta liko full watu wamejaa balaa hakuna ile participation nzuri kati ya lecturer na Student
Tatu hao Wakufunzi wenyewe unakuta Mtu ana degree anafundisha watu wa degree due to shortage ya walimu yani hakuna Cha sijui proffesor chuo unakuta proffesor wanahesabika nao wana base na inshu za administration class huwaoni kiivo
Apo sijakupa ata overview ya mizingira tu na vitu kibao
Mkuu unatumia effort kubwa sana kujibu watu wajinga humuMkuu ficha ujinga wako mimi nimesoma Engineering bongo ambapo Module zinaweza kuwa same na za MIT ila sasa hemu njoo kwenye analysis ndio ujione ulichoandika ni irrelevant
Kwanza inshu ya practical tu ni shida hakuna labs wala Vifaa vya kufanyia izo practical
Class unakuta liko full watu wamejaa balaa hakuna ile participation nzuri kati ya lecturer na Student
Tatu hao Wakufunzi wenyewe unakuta Mtu ana degree anafundisha watu wa degree due to shortage ya walimu yani hakuna Cha sijui proffesor chuo unakuta proffesor wanahesabika nao wana base na inshu za administration class huwaoni kiivo
Apo sijakupa ata overview ya mizingira tu na vitu kibao
Mwishoni utafananisha na Vyuo vyenye Enough resource kuanzia Labs, Library na Conducive environment afu Kuna machalii niliwahi kukutana nao kwenye joint project yani wao tuition fees to ni 33M per year ambapo bado direct cost Iyo ni US utafananisha na tuitio fee 1.3M kwa vyuo vya Tanzania
We ulienda kusoma degree chuo gani? Ambacho Eng hawana hata lab? St Joesph au Udsm? Na ulitaka utafuniwe kila kitu wakati upo Uni? Kuna watu wa western wanakuja kufanya kazi hapa ni weupe kama wewe ulivyo. Ndio maana mnaweza kumaliza darasa watu mia lakini competence ikawa tofauti kwa kila mtu. Kwenye elimu Iq ina mata sana. Ila wewe sababu ni mbumbumbu ambae Iq yako ni 1 ndio maana ulisoma chuo hakina standard ambazo Tcu wameweka kwa engineering
Usinisumbue akili yangu kizazi cha nyoka wewe. Una degree mpumbavu tu ambae huna point. Nenda kalale mbele na degree yako.IQ ingekuwa ina matter africa tungekuwa hapa mpaka leo? Ivi unataka kusema vyuo ivo unavyodai vinatambuliwa na TCU viko na full standards sio za ku match na Vyuo kama MIT au Yale? Haha mimi nimesoma ivo ivo vyuo unavyodai vina standards za TCU na ninaongea kutokana uzoefu , Hao wazungu unaosema wamekuja hapa na ni weupe pengine hujui hata role ya kila mtu katika uhandisi hapa nchini ndio kila mtu ni kiraka anafanya kazi zote ila wenzetu hawana hio wao wana specialization silaumu hili mana kwa mazingira yetu kujua vitu tofauti ni poa pia ila kule kuna specialization ambapo ukiletewa mtu anajua control engineering huyo kweli kaiva katika hio section tofauti na hapa ambapo tupo partial kila eneo la field afu hata software tunazotumia kufanya designing na analysis vyuoni still ziko outdated curriculum zenyewe hazichange kuendana na mazingira na uhalisia sokoni ndio mana unaona graduate anatoka chuo hajui ata currently inshu za field yake mpaka akajitolee huko ndio apate uzoefu ila wenzetu unaenda chuo ukitaka kufanya intern unaomba chuo kinapangia site una manage timetable yako na still unakuwa paid
Wametuzidi tu ndio mana ukiangalia ata Product za Western ziko tofauti kabisa na izi za jalalani
Lakin wenda tukawa na utendaji kazi mzuri na waufanis8 kuliko hao wenye mamastaz na madoctoratz maana ata yy kawa rais akiwa ana hayo masifaBasi ndiyo hivyo tena DAS wa Singida Ngoma kasema tusahau Kuteuliwa na Rais JPM kwani hatuna hizo Masters Degee na Doctorates kabisa.
Katusaidia kujua uwezo wake wa kufikir unapo ishia. Na kusoma Kote hajivunii maarifa aliyonayo anajivunia vyeti tu. Hawa ndo uwa wanalia na kuwa vichaa vyeti vikiungua moto ama kupotea, maana anajijua kichwan hana kitu Zaidi ya aliyo soma darasan tuKUMSIFIA JPM SIO KIGEZO CHA KUKUTEUA- HASSAN NGOMA
" Kigezo cha kusifia Mh. Rais sio njia ya kuteuliwa wangeteuliwa watu wengi sana, lakini Mh. Rais anachoangalia ni vyeti, kama unakuwa Kiongozi huna masters sahau kuteuliwa ngazi ya kuwa Kiongozi, cha kwanza ni sifa " @hassanngoma360, Katibu Tawala wilaya ya Singida.
View attachment 1506338
Source: Cloudstvtz
=========
Hapo hata bado hajaanza Kazi na Kuijua Wilaya yake ya Singida ilivyo ameshaanza ' Nyodo ' na ' Dharau ' hivi. Kazi ipo na tutamkoma DAS huyu!
Ndugu eee huwezi fananisha msomi wa Havard University na Tumaini University acha kabisa material hayafanani hiyo sio secondary school kwamba sylabus ni ileile..Masters au degree ni ileile iwe ya western au huko unaposema. Inategemea na mtu aliyeipata je ameiva kweli kweli? Maana material ni yale yale tu.
Babu yake aligundua Tanzanite...na yeye ndiye aliemtangaza mzee akapewa chake naye akahaidiwa fadhila.....sasa wamemkumbuka wamempa...so hivyo vyeo ni vya kupeana tu kwa fadhila ndio maana uvccm wamejaa huko...We Ngoma ni Fala tu kama ngoma iliyokosa moto...........Unataka sema Hata Kina Jokate Wana Master's
Tuliza Mshono. Ww Bado Sana Kwenye Hili game ......
Muongo huyo... maDAS kibao wana degree mojamoja tena wengi wamesoma pale mzumbe moro. Alitaka tujue kama yeye ana Masters, lakini masters kwenye nn na inaendana na hicho anachoenda kufanya? Kule clouds alishindwa kuwa hata mbunifu wa kipindi cha kwake mwenyewe... kile kipindi cha clouds360 kilikuwa kinaongozwa na Babie Kabaya yeye na masters yake alikuwa anatumwa kama messenger tu....
Masters au degree ni ileile iwe ya western au huko unaposema. Inategemea na mtu aliyeipata je ameiva kweli kweli? Maana material ni yale yale tu.
DAUDI ALBERT ana masters??????
Kwani vitz na Benz zipo sawa? Na mtengenezaji ni yule yule? Lakini LLB ni ile ile dunia nzima.Mkuu Samahani unataka kusema anayeendesha Vitz na anayeendesha Mercedes Benz wote ni sawa japo ni Madereva na wanaendesha Magari?
Usinisumbue akili yangu kizazi cha nyoka wewe. Una degree mpumbavu tu ambae huna point. Nenda kalale mbele na degree yako.
Form six ya zamani ni zaidi ya digrii za kizazi hiki cha nyoka. Wanachojua ni kubeba malaptop tu.Mkuu kama huyu Mwenzetu mwenye Degree ( Tu Digrii Twake ) unamkaanga hivi je, Mimi ambaye nimeishia Form Six tu si Utanidhalilisha hapa?