GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
-
- #61
Form six ya zamani ni zaidi ya digrii za kizazi hiki cha nyoka. Wanachojua ni kubeba malaptop tu.
Nawaonea huruma wanaoeenda kufanyakazi na huyu limbukeni
Walioweka hizo sifa hawakuwa wajinga kuna kitu walikiona.....Tatizo Jiwe na Serikali yake wanavidharau hivi vyeo vya chini serikalini. Ukiangalia wengi wa madas hawana sifa ya 1 & 2... Hizo sifa ndizo zinazowafanya kuwa karibu kabisa na wananchi. Kinyume chake wamekalia tu kuvaa suti na kaunda huku wananchi wakimsubiri rais apite ili wamweleze shida zao na rais anaonekana yeye ndiye anayefanya kila kitu.SIFA ZA MTU KUTEULIWA KUWA DAS KWA MUJIBU WA MUUNDO WA UTUMISHI WA UMMA.
1. Awe mtumishi wa umma mwenye cheo cha Afisa Mkuu (Principle Office mfano Principle Administrative Officer.
2.Awe ameshafanya kazi Serikalini kwa muda wa Miaka isiyopungua 12
3. Kwa mujibu wa OPRAS yake awe mtumishi mchapakazi na mwenye tabia njema.
4. Awe na elimu ya shahada ya Chuo Kikuu inayohusiana na Utawala ,Sheria,Sociology,Uchumi, Raslimali Watu, Serikali za mitaa,
hawa ma DAS wa kipindi hiki cha magu wameteuliwa kisiasa na wala hawana sifa za kuwa ma DAS
nimemzarau sana Dr Ndumbaro na ma thoeries yake ya organization eti mwenyewe alikuwa anafundisha meritocratic principles in promotion or appointment udsm kitu ambacho sasaivi akipractise.
Hivyo hawa Ma DAs akina Hasan Ngoma ,Mtoto wa Michuzi, Das Rombo, Das Bagamoyo, akina Mtela waliotumbuliwa etc (Magu ameagiza apewe cheo cha chini katika utumishi wa umma vyeo ambavyo kwa mujibu wa sheria sasa hivi vinatolewa kwa njia ya ushindani kupitia sekretarieti ya ajira, , yaani nasubiri kusikia amepewa cheo gani mtu ambaye hakuwahi kuwa mtumisi wa umma manake angekuwa ameteuliwa kiutaratibu angerudiswa kwenye cheo chake cha uprinciple kama taratibu zinavyotaka .
WOTE HAO NA WENGINE WENGI WALIOTEULIWA KIPINDI CHA MAGU KWENYE NAFASI ZA UTENDAJI IKIWEMO UDED HAWANA SIFA ZA KUTEULIWA KWENYE NAFASI HIZO ISIPOKUWA WAMETEULIWA KISIASA KINYUME KABISA NA MIONGOZO ILIYOPO OFISI YA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA KUHUSU SIFA ZA MTU KUWEZA KUTEULIWA KWENYE NAFASI IZO
Msisitizie amnyooshe huyuNina Mwanangu Mmoja hapo hapo Singida anakoenda huyu ni Mtu wa ' African Tradition ' sana tu hivyo najua ' atamalizana ' nae na atanyooka tu.
Ni hiko kimasters kumbe ndio kinakupa jeuri
Hassan anakazi sana aiseee,alipopogwa kipapai,basi busha hilo, linakuja
Msisitizie amnyooshe huyu
Akiamkia kwenye tundu la choo cha shimo itakuwa vyema zaidiTegemeeni huyo DAS wenu Kukaa huko Wiki Moja tu na ataomba Uhamisho ila nina uhakika kila Siku atakuwa anaamkia mno Juu ya Dari / Mabati.
Akiamkia kwenye tundu la choo cha shimo itakuwa vyema zaidi
Wewe ambaye haukuzungusha una nini? Kwani kuzungusha ndio kufeli maisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unaonekana una ' Doctorate / PhD ' ya Roho Mbaya na Ukatili uliyoachiwa kama Urithi na Mwandamizi wa hiyo Tabia Hayati Idi Amin Dada.
Bangi + Konyagi ni tatizo kubwa sana.Wewe Kigololi kimekushuka hata huelewi mjadala unavyoendelea. Ishu ni huyo batamzinga mwenzio anayetamba kuwa bila kuwa na Masters JPM hakuteui. Tuliza kishundu hicho dada mkubwa uzae salama
Kwa hiyo anataka kusema hata Paul Makonda ana masters? Au huyu Ngoma anaongea pumba tu. Ina maana hata Chalamila nae ana masters?
Effort au upuuzi na wewe utakuwa mpuuzi tu. Kwani Civil engineerig ya Us na hapa ni tofauti? Kwa nini usome chuo hakina lab test wakati Tcu na dunia nzima wanasema ni takwa la lazima! Kwani kulipa tuition fee kubwa ndio kupata elimu nzuri? Kwani bunsen burner ya Kayumba na shule za international zipo tofauti?Mkuu unatumia effort kubwa sana kujibu watu wajinga humu
Najua uko kwenye heat ,utapata mtu na kibaridi hiki atakutuliza.Bangi + Konyagi ni tatizo kubwa sana.
Bangi+ konyagi= ChademaNajua uko kwenye heat ,utapata mtu na kibaridi hiki atakutuliza.