Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwani wakipeleka CV zao kwa DAS watapungukiwa nini? Na wakigoma kupeleka wanaficha nini? Je, kama DAS au Serikali ina lengo zuri kwao? Iweje kila kitu watu wanakuwa negative tu? Maswali ni mengi.Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Kweli, Maswali ni Mengi...Kwani wakipeleka CV zao kwa DAS watapungukiwa nini? Na wakigoma kupeleka wanaficha nini? Je, kama DAS au Serikali ina lengo zuri kwao? Iweje kila kitu watu wanakuwa negative tu? Maswali ni mengi.
Wapeleke CV ofisini kwake kwani anataka kuwaajiri?Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Serikali kudai CV za waandishi wa habari ni mwanzo wa serikali kuingilia uhuru wa habari.Kwani wakipeleka CV zao kwa DAS watapungukiwa nini? Na wakigoma kupeleka wanaficha nini? Je, kama DAS au Serikali ina lengo zuri kwao? Iweje kila kitu watu wanakuwa negative tu? Maswali ni mengi.
Acha utoto wa kitoto. Hujui kuwa kuna waandishi wengine hawana expore kabisa na mambo yanayoendelea nchini, sembuse Kimataifa?Wapeleke CV ofisini kwake kwani anataka kuwaajiri?
RC yupi? Au unaota!!Mimi nadhani uyo RC angejenga hoja kabla ya agizo apo tungeanza kujadili hoja sio agizo.Hana mamlaka ya kufanya ivyo.
Tii sheria bila shuruti bwasheee.Serikali kudai CV za waandishi wa habari ni mwanzo wa serikali kuingilia uhuru wa habari.
Kwani huyo DAS anazitakia nini CV za waandishi wa habari?
Governmental overcollection of informationnis a problem.
Inatakiwa kabla taarifa yoyote haijakusanywa, kuwe na maelezo ya kwa nini inakusanywa, kuwe na sababu ya kuhalalisha kukusanya, kuwe na maelezo ya jinsi taarifa zitakavyotunzwa na muda taarifa zitatunzwa kabla ya kufutwa, na jinsi zitakavyofutwa.
RAS katoa maelezo haya yote.
[emoji1][emoji1][emoji1]Hao waandishi wengi ni zero brain wacha wanyooshwe waombwe hadi tarehe zao za bleed.
Wakati wa uchaguzi wanakuwa machawa wa watu fulani.
Hakika.Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Wakipitisha paranja kwenye radio hapo watawamaliza maana huko wameja makanjanja
Ova
Aeleze kwanza anazitaka za nini?Bila hivyo anazusha maswali mengi kwa waandishi na jamii kwa ujumla.Kwani wakipeleka CV zao kwa DAS watapungukiwa nini? Na wakigoma kupeleka wanaficha nini? Je, kama DAS au Serikali ina lengo zuri kwao? Iweje kila kitu watu wanakuwa negative tu? Maswali ni mengi.