Wapeleke CV sababu wanatoa taarifa kwa ajil.ya public consumption ,kuhoji kuwa sio waajiliwa wa serikali ni ujinga ni sawaa atokee Dr awe anatibu watu tu kwamba yuko huru kwa kuwa sio mwajiliwa wa serikal
Na ifahamike tu habar zinazotolewa na wanahabar zinaaminika sanaa
Hilo swala washughulikie watu wa wizara husika na sio yeyey.
JD ya DAS ikoje? Huko Singida.Kwani wakipeleka CV zao kwa DAS watapungukiwa nini? Na wakigoma kupeleka wanaficha nini? Je, kama DAS au Serikali ina lengo zuri kwao? Iweje kila kitu watu wanakuwa negative tu? Maswali ni mengi.
Kama huna cheti cha uandishi wa habari kaa kimya! Uandishi wa habari uwe taaluma zaidi kuliko ukajanja. Siyo una kacheti sijui kutoka Sinoni school of journalism au Njuweni afu unanyanyua tak.o mtaani ati na wewe ni mwandishi wa habari. Nani kasema? Pelekeni CV mtambulike.Hiz ng'ombe za kuteuliwa sasa znavuka mipaka kwakweli n ufala na nusu
Muandishi akikosea, kuna taratibu na sheria za kumuwajibisha.Acha utoto wa kitoto. Hujui kuwa kuna waandishi wengine hawana expore kabisa na mambo yanayoendelea nchini, sembuse Kimataifa?
Uelewa wa wengi wao ni hafifu mno, mpaka mtu unashangaa amekuwaje mtangazaji/mwandishi wa habari.
Wanaogopa nini kupeleka? Walishaambiwa ikifika muda fulani bado hawajakuwa na qualification zilizowekwa na Serikali, waanze kujitafakari.
Kuna baadhi yao wanawaharibia waandishi/watangazaji wazuri wenye uelewa.
DAS yupo sahihi kukazia maelekezo.
Hakuna sheria ya RAS kuangalia CV za waandiahi wa habari.Tii sheria bila shuruti bwasheee.
Mwenye Kacheti hana CV ? Au CV maana yake nini ?Kama huna cheti cha uandishi wa habari kaa kimya! Uandishi wa habari uwe taaluma zaidi kuliko ukajanja. Siyo una kacheti sijui kutoka Sinoni school of journalism au Njuweni afu unanyanyua tak.o mtaani ati na wewe ni mwandishi wa habari. Nani kasema? Pelekeni CV mtambulike.
Asee kuna sehem pia huku pwani nimesikia ofisi ya usalama wa taifa inataka cv na vyeti vya waandishi! Nimeshangaa sana au hili jambo ni la nchi nzima? Kuna ajenda nahis kaeni chonjoAli Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Miongozo ipi inayowaongoza waandishi wa Habari,?Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Mada ilimhusu DAS, sio RAS. Huelewi tofauti yao, acha kukariri mambo.Hakuna sheria ya RAS kuangalia CV za waandiahi wa habari.
Kama unafikiri ipo, iweke hapa tuichambue.
Nimekujibu hapo juu, soma kwa kutulia bwasheee.Muandishi akikosea, kuna taratibu na sheria za kumuwajibisha.
Hilo halihitaji serikali kuangalia CV.
CV ilishaangaliwa na muajiri na mhariri anapitia habari.
Huu ni ujinga kabisa hvwa wanapangiwa cha kuripotAli Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Rais, DAS, RAS, mpaka RAStafari.Mada ilimhusu DAS, sio RAS. Huelewi tofauti yao, acha kukariri mambo.
Tofauti yao ni;
DAS ## Katibu Tawala Wilaya.
RAS ## Katibu Tawala Mkoa.
Kwa hiyo umekiri na unajua kuwa kuna sheria inayompa kiongozi fulani (sio DAS) mamlaka ya kuangalia CV za waandishi waliopo ndani ya Wilaya au Mikoa.
Ungekuwa unajua maana ya maneno deligate, accountabilty na responsibilty katika medani za utawala, usingejibu ki-leimani hivi pamoja na kuwa mbishi kama watu wa mwambao wa Ziwa Tanganyika.
Kwa hiyo, agizo hilo la DAS (baada ya kuwa deligated) wa Singida ni sahihi kwa kuwa anakazia hili;
Kiwango cha Elimu kwa Waandishi wa Habari ni Diploma, Sheria iliyosainiwa na Rais Novemba 16, 2016 ambapo siku mbili baadaye ilichapishwa kwenye gazeti la serikali baada ya muswada wake kupitishwa na Mkutano wa 5 wa bunge mwezi Novemba 2016.
Sawa!! Ila ujumbe wa nilichokusudia umeupata! Mswada huo ulipopitishwa Bungeni, unadhani nani wangeusimamia??Rais, DAS, RAS, mpaka RAStafari.
Wote hawana sheria ya kulazimisha waandishi wa habari wawapelekee CV.
Kama ipo, ilete hapa tuichambue.
Wewe huwezi hata kuandika "delegated".
Unaandika "deligated".
Ulivyoandika hivyo mara ya kwanza nikajua labda ni typographical error tu.
Ulivyoandika hivyo mara ya pili nikajua hujui hata spelling za "delegated".
Muswada upi?Sawa!! Ila ujumbe wa nilichokusudia umeupata! Mswada huo ulipopitishwa Bungeni, unadhani nani wangeusimamia??
Umesoma hapo juu ulipitishwa lini? Nani aliusaini?
Au unadhani ni mambo ya vijiwe vya akina Rastafari huko kwenu Matombo-Morogoro?
Hahahahaaa, wati sheria bila shuruti.Muswada upi?
Weka sheria inayomrusu DAS kuomba CV za waandishi wa habari hapa.