Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

Acha kuongea ujinga ww punguani. Hivyo vyote vilikua chini hapa kwetu, haya mabadiliko ni ndani ya muda mfupi ndio maana tunalalamika.
 
Mkuu unaandika content nzito mno ambayo watanzania wengi aidha kwa kutokwenda shule au kwa ujinga wa kuzaliwa hawaelewi.

Mpuuzi mmoja anakuambia eti mbona nchi x au y ni bei rahisi kuliko sisi na yanapita kwetu.
Haangalii kodi tulizoziweka humo ili kukimbiza miradi ya REA na Reli na TARURA
Mtu huyo huyo kesho kodi hiyo ikiondolewa na miradi ya REA na Reli ikafia mbali ataandika tena kulalamika

Kwa muktadha huo kuna sehemu nilikuwa nakubaliana na Magufuli, kwamba ng'ombe kama hawa ni wa kuburuza tu watake wasitake.
 
Unaonaje tuanze kuagiza huko angola na kenya ili mafuta yawe nafuu?maana hivi vita vya ukraine vinaipiga tanganyika tu
 
Acha kuongea ujinga ww punguani. Hivyo vyote vilikua chini hapa kwetu, haya mabadiliko ni ndani ya muda mfupi ndio maana tunalalamika.
Wewe ndio mpumbavu
Hakuna kodi mpya kwenye mafuta, zote zilikuwepo, kilichofanya bei ije juu ni kule sokoni.
Kuna mada nyingine sio saizi yenu wala ugoro vijiweni.
Kama huna shule huwezi kuelewa implication ya vita na covid kwenye hili la mafuta.
Kaa kimya tukuamulie kuku wewe
 
Zanzibar nao wanachukua kutoka nigeria kupitia angola!? Maana degree zetu za ufugaji nyuki hazijuwi lolote.
 
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!
Kwan wanatumia nini instead???
 
Unaonaje tuanze kuagiza huko angola na kenya ili mafuta yawe nafuu?maana hivi vita vya ukraine vinaipiga tanganyika tu
Kwamba Kenya hayajapanda sio?
Ni bahati mbaya kwamba wapuuzi wengi sampuli ya Wewe mnashinda mitandaoni kufuatilia nani katembea na nani, nani kavaa nguo mpya.
Halafu inapokuja mada serious kama hii na Wewe unajitutumua.
 
Acha upumbavu, hiyo sh 100 mlioweka mwaka Jana mwezi wa 7 sio mpya?
 
Unajiona una akiiiiiiiili mwenyewee.
 
Kwamba Kenya hayajapanda sio?
Ni bahati mbaya kwamba wapuuzi wengi sampuli ya Wewe mnashinda mitandaoni kufuatilia nani katembea na nani, nani kavaa nguo mpya.
Halafu inapokuja mada serious kama hii na Wewe unajitutumua.
we mpuuzi kikosi kazi chenu cha kufurahia machungu na mateso wanayopitia wadanganyika kilaaniwe mfe kwa ajali na mpasuke makalio yenu na mafuvu yasagike kabisa
 
Angola Wanasafisha mafuta na kuuza yanayoenda kutumika moja kwa moja?
 
Halafu mama yenu ndio anajilinganisha na US?
kikosi kazi kinamjibia wako wawili hapakwenye huu uzi wanaji mwambafai vibaya mno kauli za kifedhuuli kuona wanolalamika kama ni wajinga vile sijui hao Angola kenya na zanzibar wanawezaje kuuza kwa bei nafuu hiyo bandari ya kurasini si bora ifungwe tu ina faida gani sasa?
 
Hawa chawa wa huyu bibi hawana maana kabisa.
 
Nenda kanunue Rwanda....CCM mbere kwa mbereeee!!!
 
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!
Kwani mafuta mkulima yanaleta maji?
 
Zanzibar nao wanachukua kutoka nigeria kupitia angola!? Maana degree zetu za ufugaji nyuki hazijuwi lolote.
Zanzibar ni nchi mzee sio kama unavyofikiri wewe kilaza, mbona HULINGANISHI MISHAHARA YA WATUMISHI WA ZANZIBAR NA YA WA MUUNGANO AU TANZANIA BARA??

Au undhani na mishahara inafanana?? Kila kitu kina some impact katika upande wa pili, Zanzibar ushuru uko chini, lkn pia hata maslahi ya watumishi wa SMZ ni finyu mno kutokana na pato lao kuwa dogo.

Mnapenda sana kulalamika, haya tuambie kati ya Zanzibar na Tanzania Bara wapi kuna gharama za juu za Saruji?? So sio kila nchi itafanana katika uwekaji wa kodi mbali mbali.

Ongezeko la bei ya mafuta imeenda sambamba katika nchi zote ambapo tofauti uzionazo ni kutokana na factors kama umbali, kodi inayotozwa nk.

Bei ya mafuta sio global system kwamba lazima nchi zote zifanane bei kama viwango vya fedha.

Ndio maana Venezuela bei iko chini na huku ni juu. MBONA HUULIZI KWANINI KOROSHO HAPA TZ NI BEI RAHISI KULIKO HONG KONG??.

Malalamiko ya kitoto sana mnafanya, hamjipi muda wa kusoma kwa kina kabla y kupost utumbo hapa JF.

Haya tuambie kwanini, mikoa kama TANGA, DAR na MTWARA bei za Mafuta kuwa chini ukilinganisha na mikoa mingine??

Kuhusu KIGOMA sio kweli kwamba mafuta ni 5000 per lt. Bei elekezi ya Kigoma haiwezi fika hata 3500 per lt.
 
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!
Unapotoza kodi lazima uangalie chanzo chenye uhakika hivyo kwetu sisi mafuta ni chanzo cha kodi chenye uhakika ambapo huwezi kukwepa. Ukiweka kwenye internet watu wanaweza achana na matumizi ya Internet au kupunguza kwa maana sio muhimu kwao. So kwa hali hiyo serikali itakosa mapato.

Umeona mfano wa kodi ya majengo kuwekwa kwenye LUKU?? ni kwa sababu ya uhakika wa kuipata kodi yenyewe. Sisi Watanzania hatupendi kulipia huduma au kulipa kodi. Msumbiji mikate bei juu huku bei chini mbona hamjilinganishi.

Watz hatupendi kujilinganisha na vitu ambavyo kwetu ni nafuu zaidi ya wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…