Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Hivi kupata chetu si kunahitaji maandalizi?mi nadhani mleta uzi alimaanisha TENDA ya kuandaa Nssf kupewa ISO ndo akipewa mtoto wake,maanake kuelekezaa cha kufanya ili ISO ipatikane
 
H
hapo kwenye kampuni ya ulinzi nitakuunga mkono kuna kampuni inayolinda majengo yao inaitwa OPTIMA ni kampuni ambayo haina vigezo vya kuitwa kampuni ya ulinzi kulinda mali za shirika kubwa kama nssf
 

Inaonekana una taarifa za kutosha kuhusu mambo ya NSSF. Vipi tuhuma kwamba NSSF iliingia mkataba na mwakilishi feki wa Real Madrid? Kwamba Real Madrid wamekanusha kutokuwa na mkataba wowote na NSSF na wanaishtaki NSSF kwa kutumia jina la Real Madrid vibaya? Ni kweli?
 
Ukila tu lazima uteteee tumekujuwa ilooooooooooooo, tulia utumbuliwe

Achaujinga wa kushabikia vitu msivyo vijua ndio maana watanzania tunapata shida ya kuwashughuli hawa mafisadi kwa sababu ya kukosa taarifa za kutosha zenye uhakika ndio maana hawa mafisadi hawa ogopi kuendelea kuiba.

Kwasababu ya sisi kushabikia upumbavu wanatumia nafasi hii kutukwepa hata kama kweli waliiba.
 
Dr.Dau anatupiwa shutuma nyingi sana lakini bahati Mbaya wanaorusha hizo tuhuma hawana hata his Preliminary knowledge ya kupika Propaganda, Ngoja niwasaidie.
1. Ukisema Mtoto wa Dau anaeishi UK kapewa Tenda jaribu walau kutaja Jina la mtoto huyo kusaidia vyombo vya Upepelezi wajue pa kuanzia.
2 Taja walau jina la hiyo kampuni ili iwe rahisi kuifuatilia hata kama watakuwa wametumia jina tofauti pia onesha kiasi walicholipwa walau tupekue kwny Cashbook .
3. Msipofanya hivyo mkawa mnarusha tu kashfa za jumla jumla taratibu mnakuwa mnamsafisha Dr.Dau bila ya kujijua maana kazi zake zinaonekana kwa ushahidi lakin tuhuma zinakuwa kwny Mitandao tu hakuna anaejitokeza Front na ushahidi thabiti.
Tumsaidie Raid Magufuli tusiwe kama Meya wa Kinondoni na Mbunge wa Ubungo waliomchafua sana Makonda Mwishowe Rais alipofuatilia shutuma zake akamteua kuwa RC Mwenye umri mdogo zaid kwa kuwa aligundua ni Majungu.
 
The big show unapanic nn bro au kisa mtu wenu kaguswa acheni kumtisha mleta uzi, ni bora ukafa kwa kusema ukweli kuliko kufa na ukimwi,siku ikijulikana kuwa ni kweli hizi tuhuma tunaomba uje umwage hiyo mitusi yako tena humu kama ulivyofanya leo humu .
 


Mkuu mtoa uzidi kaahidi kuleta data kamili wacha tuwe wavumilivu muda ni hakmu mzuri
 
H
hapo kwenye kampuni ya ulinzi nitakuunga mkono kuna kampuni inayolinda majengo yao inaitwa OPTIMA ni kampuni ambayo haina vigezo vya kuitwa kampuni ya ulinzi kulinda mali za shirika kubwa kama nssf



Mkuu safari moja huanzisha nyingine hhaaa kampuni hiyo ilipata tenda ya ulinzi kwa biding halali?ilifanyika lini?
 
Fuatilia thread zote kuhusu kashfa za Dau huishia hivyo hivyo. Ubadhirifu sio breaking news kama kuungua jengo au ajali kwa nini usikamilishe Taarifa ukaileta kamili?
Mkuu hata ile ya udini pia utasema propaganda,
Nina rafiki yangu wa karibu kwao wanagawanyika pande mbili??mdogo wake alitafuta field NSSF kaambia lazma aWhen tempted to fight fire with fire, remember that the Fire Department usually uses water.vae ushungi la sivyo field hapati pale upo mkuu???...theis is from people i know
 
Bwana Magori, huwezi kuzuia fao la kujitoa kwa wanachama.. wewe angalia miradi mliyowekeza kijinga isiyo na tija na mikopo mliyotoa kwa serikali bila kuangalia mnalipwaje. Usikomalie akiba za wananacha ambazo wala hamtoi riba inayoeleweka.
 
subiri uambiwe leta ushahidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…