Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake


usifikiri ndani ya box tu,unaweza ukawa ni mkakati wa kuitapeli NSSF.Ni hivi,watu wanaweza wakawa walishanusa kuwa nssf itapewa na ISO so wakaingia wahuni wakafanya uhuni kuwa wanaweza fanya magumashi kufanikisha hilo.Wakalmba mkwanja,nchi hii hakuna linaloshindikana,tusikurupuke kupinga tu,tusubiri tupate taarifa kamili.
 
Kwa hiyo wewe kama baba yako anaenda kinyume na uislamu unaweza kumuita kafiri kwa kuwa sio tusi?

walio kinyume na ukristo wanaitwaje?kama jina halipo naomba nipendekeze waitwe "makafiriro"
 
Prof kahyarara atamuweka wazi mda si mrefu
 
Fisad hauguswi hasemwi ila tutajuwa kila siku Dau hamtaki apumue tajeni taasisi inayo ongoza kwa ufisadi so majungu
 
Fisad hauguswi hasemwi ila tutajuwa kila siku Dau hamtaki apumue tajeni taasisi inayo ongoza kwa ufisadi so majungu
 
Almajununu fununu
 
Fisad hauguswi hasemwi ila tutajuwa kila siku Dau hamtaki apumue tajeni taasisi inayo ongoza kwa ufisadi so majungu
 
Ni kazi kukuelimisha ila nikushukuru tu Na mie niendelee kuwa kafiri
 
Mtoa habari hana uhakika na anachokisema muongo mkubwa huyo acha husda mkuu
 
Ni kazi kukuelimisha ila nikushukuru tu Na mie niendelee kuwa kafiri
Usijali mkuu, watakuita kafiri lakini ukifika maeneo na kuagiza kakilo kako kamoja na endizi wala hawahitaji kuambiwa karibu Mara mbili wanavamia kufakamia
 
vipi kuhusu ile kashfa ya udini pale nssf
Mambo ya Dr.Dau yamepitwa na wakati. Kuendelea kuyajadili ni kupoteza muda. Yeye ni balozi yuko kwenye payroll. Nafasi yake Nssf imeshajazwa. Tuliowengi tunaojadili ajenda hii humu hatuna ajira, ni walalahoi. Kwanini tupoteze muda kuwajadili walioshiba na ambao wanaendelea kushiba?
 
endele kuleta habari, majipu hayana nafasi tena kuyaachia yaendelee ni dhambi katika utawala huu
 
Majungu na udini vitaimaliza nchi hii, Leteni story nyengine hii single ishachuja , kila siku Dau kwani hamna mitumbwi na maboti, tandarubeta.
 
Mkuu tuletee taarifa rasmi kutoka Real Madrid inayoelezea hayo otherwise. Tusipende kujadili majungu na umbeya

Afadhali umejitokeza mwenye kufahamu zaidi haya mambo. Hebu nisaidie, kituo cha michezo cha NSSF kilishaanza kazi? Nina kijana wangu inaonekana ana kipaji cha kusakata kabumbu, nataka nimwombee nafasi kwenye hiyo shule ya michezo ya NSSF. Je ni kweli wakufunzi kwenye hiyo shule wanatoka Real Madrid? Kama ni kweli si mchezo - NSSF watakuwa wamepata hicho cheti cha ISO kihalali. Unaweza kunielekeza ilipo hiyo shule nipate kuitembelea? Kama una contacts zao pia nitashukuru.
 

..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…