Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka!
Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa kinatafutwa kichaka cha kuanza kupotosha watu!
Ofa kubwa aliyowekewa Ramovich na CR belouzdad akuna kocha mwenye akili timamu angeweza kuikataa ata kidogo na akijua anakwenda kuifundisha timu kubwa zaidi itayoongeza cv yake!
MSahara wa milioni 100 kwa mwezi nani angekataa kuendelea kulipwa mshahara wa milioni 38 kwa mwezi? Yanga akuwa na ubavu wa kumlipa kocha mshahara wa namna iyo na akuna timu Tanzania inaweza kumlipa kocha mshahara huo!
Uchumi wa vilabu vyetu unajulikana ivyo yanga awakuwa na cha kupoteza baada ya kulipwa na fidia ya kuvunja mkataba huo!
Tunamtakia Kila lenye heri na mafanikio zaidi!