Dau kubwa lililowekwa na Belouzdad ndilo lililomuondoa Ramovich, naipongeza idara ya habari kuwadhibiti wapotoshaji

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka!

Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa kinatafutwa kichaka cha kuanza kupotosha watu!

Ofa kubwa aliyowekewa Ramovich na CR belouzdad akuna kocha mwenye akili timamu angeweza kuikataa ata kidogo na akijua anakwenda kuifundisha timu kubwa zaidi itayoongeza cv yake!

MSahara wa milioni 100 kwa mwezi nani angekataa kuendelea kulipwa mshahara wa milioni 38 kwa mwezi? Yanga akuwa na ubavu wa kumlipa kocha mshahara wa namna iyo na akuna timu Tanzania inaweza kumlipa kocha mshahara huo!

Uchumi wa vilabu vyetu unajulikana ivyo yanga awakuwa na cha kupoteza baada ya kulipwa na fidia ya kuvunja mkataba huo!
Tunamtakia Kila lenye heri na mafanikio zaidi!
 
Kwa nini haujui kuandika kwa ufasaha?Utopolo kabisa.
 
Huyu tutamsindikiza hadi airport tuhakikishe ameondoka. Humu ni suti tu hakukuwa na kocha.
 
Kwa hiyo uto sasa hivi imeingia kwenye biashara ya kuuza makocha?

Kila siku mnazuia wachezaji kuondoka kisa bado mna uhitaji nao, leo mnasema mchawi pesa.
 
Kwahiyo Yanga shida Yao sio mafanikio kimataifa Bali kuuuza wapate mpunga?
Uwezi kushindana na Wenye fedha ndugu, yanga wanayo shida ya mafanikio lakini siku zote utajikuna mkono unapoishia mchawi ni pesa!
 
Kwa hiyo uto sasa hivi imeingia kwenye biashara ya kuuza makocha?
Kama ni iyo biashara basi Simba alishanufaika sana kwa maana ndiyo timu inayoongoza kwa kubadilisha makocha
 
Usibadili upepo. Hiyo ni biashara ya Hersi na huyo Said Kichwa. Ngoja nikusanue kilichotokea maana wewe unaendeshwa na mahaba.

Hersi alimfukuza Gamondi katika mazIngira ya kutatanisha ili amsajili swahiba wake Said Kichwa (na mkataba usukwe kimagumashi vilevile) halafu amtengenezee rekodi za kikayoko kwa kipindi kifupi. Nia ikiwa wakati huo huo aombe kazi huko kwa Waarabu na kweli wakiangalia wakute anazipiga timu goli nne nne.

Walijua waarabu wakimchukua ni win-win kwa pande zote, Hersi anapata pesa, anaweka mfukoni mwake na swahiba wake Said Kichwa anapata mshahara bora zaidi ila huyo hafiki miezi 6 huko CRB wanamtimua.
 
Kama ni iyo biashara basi Simba alishanufaika sana kwa maana ndiyo timu inayoongoza kwa kubadilisha makocha
Karibu mara zote Simba ndiyo imekuwa inavunja mikataba na makocha na siyo kumuuza kama ilivyotokea kwa Said Kichwa.

Pia unaposema hakuna timu Tanzania ya kumlipa kocha mshahara wa milioni 100, kwani Benchikha alikuwa analipwaje?
 
Back
Top Bottom