Mwanakijiji,
Zealotry yetu itakuwa ndiyo downfall yetu. Kifo ni kitu cha familia, na kama jamaa walishasema ni suala la familia, bai tuliheshimu.
Sasa hasira yetu kuhusiana na EPA isiishie kwa Ballali tuu, mbona hatujataka kichwa cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, waliokuwa kwenye bodi, wanaosadikika kurudisha pesa, aliyekuwa Raisi na kuruhusu malipo makubwa kiasi hicho na wengine wengi?
we really need to tone it dwon especially huu ung'ang'anizi kuwa ni lazima tupate majibu. Je tutapata majibu gani kutoka kwa mtu mfu? kwa nini tusiende kwa wale waliobakia ambao ni hai na kuwahoji? kama ni mob justice, si basi tugeuze nguvu zetu na kuwashika koo wale wanaotuhumiwa kuhusika?
I am sad he is dead, I am dissapointed that he did not come out and told us the truth, amekufa na siri kubwa moyoni. Let him go in peace!