Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
"Mke wa sasa Balali, ni dada wa mume wa dada wa mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima, ambalo ndilo limekuwa la kwanza kusema hizi habari.
....wakuu hiyo nayo inaniacha hoi.
kwanini? unachosema ni kuwa familia imejua kwanza, sasa isingejua? au unataka kusema kuwa kwa vile walijua kwanza wangesubiri kutoa taarifa kwa vile wana undugu?
Pili si kweli kuwa wao walikuwa wa kwanza kutoa habari hizi. Habari hizi ziliandikwa masaa zaidi ya 12 hapa na wapo waandishi wa Tanzania Daima (mimi mmojawapo) ambao ni wanachama hapa.. why can't we be the source of that Information kwa Tanzania Daima?