Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
hapana mkuu sio lazima!!

Haya niambie basi inavyo work!

Halafu ndugu zangu hapa si jitihada za kulazimishana kama Ballali kafa ama la! MKJJ mwenyewe anasema amezipokea nyuzz kama sisi tunavyozipokea..Kuwa Ballali katutoka!
Lakini kutokana na mtu mwenyewe (Ballali) kutakiwa na karibu kila mtanzania halafu akafa ghafla kisirisiri...Then..
Conspiracy theories zipo!
Hata Puffy ni juzi tu ameombwa msamaha na Los Angeles Times kama sikosei kuhusu conspiracy kuwa yeye alishiriki kumua pac!
 
Nimejaribu kusema subirini kesho.. watu hawataki.. we try to live the life of "the now".

a. Habari ya msiba imetolewa
b. Nyumba ambayo mwili umelezwa imetolewa na simu na anuani vipi (pigeni muulize)
c. Wapi misa itafanyika na muda vimeelezwa (hamtaki)
d. Wapi mwili utazikwa/utatetekezwa pametajwa.


As far as kifo is concerned kubisha hajafa ni kazi kwa mtanzania kwani viongozi wa kitaifa wa Tanzania huwa hawafi kwa kawaida! Mention one ambaye amekufa tukakubali kafa kwa kawaida! I dare you (usinitajie mjumbe wa nyumba kumi)

Ditto mbona tulikubali? Au naye alikuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi?
 
Hapo kwenye funeral Home..Fanyeni hivi:
Fanyeni utafiti wa funeral homes nyingine!
Mimi nakumbuka funeral home moja ikiwa na sehemu ya kuangalia mtu wenu kupata ratiba nzima ya mazishi!
Sijaangalia nyingi..Lakini experience yangu before about Funeral homes niliweza kuingiza jina la mtu wangu na kuangalia info za calling hrs etc etc!
 
Mwafrika wa Kike si tulibishana sana wewe na MKJJ mlipodai kuwa State Department hawahusiki na sisi kupata taarifa za Ballali?
Kwamba Zitto kaalikwa nao si ndio ilikuwa nafasi kwa mtanzania kupata tarifa halisi mara baada ya yeye kuondolewa visa yake na wamarekani?
Kama Zitto aliliwakilisha taifa then kwanini hakuitumia nafasi hiyo?
Ama ali iwakilisha serikali na si wananchi?
 
Balali kafa fofofo wajameni...........acheni ubishi!!! familia inaweza kuziomba mamlaka habari za kifo chake zisiwekwe wazi kwa general public!! kama una muda nenda kwenye county alofia fungua kesi ya kupewa habari juu ya kifo chake.....lakini lazima uwe na vijisababu vya nguvu, ama sivyo jaji atakutoa dima (toast out kajikesi kako)!!!
 
Balali kafa fofofo wajameni...........acheni ubishi!!! familia inaweza kuziomba mamlaka habari za kifo chake zisiwekwe wazi kwa general public!! kama una muda nenda kwenye county alofia fungua kesi ya kupewa habari juu ya kifo chake.....lakini lazima uwe na vijisababu vya nguvu, ama sivyo jaji atakutoa dima (toast out kajikesi kako)!!!

Sasa kama familia inataka heshima ya watanzania na sympathy kuwa hana hatia then kwanini wawafanyie watanzania wenye maswali mengi hivyo?
Ama wananfikiri watakuja na barua tu na waseme Ballali aliandika?
Na serikali nayo ilikuja kuchukua nini huku kwa ballali?
 
Sisi Ndivyo Tulivyo bana....hata mtu akifa hatukubali kama kafa...
 
Kwa kweli athari za huu ufisadi zimepita kiwango; yaani hakuna tunachoweza kuamini tena, hata kifo tunabisha? Tena kifo cha mtu ambaye tulikuwa tunajua kwamba alikuwa anaumwa? I see, kazi ipo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom