KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
wakiishiwa hoja huanza rants!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakiishiwa hoja huanza rants!
Hayo mliyotangaza ya huko Washington DC!
Countdown inaendelea kuanzia May 7th siku thelathini zinapungua kila siku inayopita. Hayo mengine mkuu hata wewe unaweza kufanya meanwhile ili hiyo report itoke.
Nilitegemea kukuona kwenye funeral home ukimshikia bango mzee Ombeni kwenye hii issue ya Balali. Kama unahitaji tiketi ya ndege utapata tu mkuu.
Na hawa vijana kina Daudi na Muthoni ndio majina mapya ya Balali!
No nasema kulishawahi kuwa na mawasiliano kati ya hao watu through messages zinazoachwa kwenye web!
Status ya huyo mukonyi inaonekana ni mtu mzito!
Halafu ni messages zinazoonyesha kuficha ficha mawasiliano yao! Lakini web imewaumbua!
Bado nasimamia maneno yangu kuwa state department ilimwalika Zitto kwenye mambo mengine na sio issue ya Balali. Kama Zitto anataka kuja kujua mambo ya Balali, anaweza pia kuomba visa upya na kuja kufanya uchunguzi huo na akaongea na FBI na vyomba vya usalama katika hili.
Bado nakuuliza swali ambalo nilikuuliza wakati ule, kama wewe unaamini kuwa State Dept inaweza kusaidia katika hili, na kwa vile nakuamini kuwa una uchungu sana na kile kilichotokea, kwa nini wewe usiwaulize hao state Department na ukaleta hapa ulichopata?
BTW, Bado kalamu yangu inasubiria kusaini hiyo petition uliyotangaza kuifanya ili kumtafuta Balali. Nitakuwa mtu wa kwanza kwenye hayo maandamano na Kesho nitakuwa DC kwenye mazishi. I hope kukuona huko ukitafuta ukweli.
Naona ndugu yangu unataka kufanya kama Republicans wanavyofanya kwa Barack Obama. Mtu yeyote hatari aliyewahi hata kusalimiana na Obama basi ni fair game kumlaumu Obama for that.
Ingawa siamini kuwa unachosema kuhusu vijana hawa na mawasiliano yao na Balali, ila sidhani kama chochote ambacho search engines zinaleta kinaweza kutumiwa moja kwa moja kumtuhumu mtu. Au unataka JF isishitakiwe na hawa ndugu?
1. Mtu wangu Mwafrika Wa Kike huku respond kwenye mwito wa kuandamana. Nakuita 'arm chair critic.' Mushi is one a couple who had the balls to sign off on the rally. So do not mention no rallies baada ya kuona ishu imekufa! Hakuna muandamanaji JF hapa. Changa la macho hilo, Mwafrika wa Kike, nimelikwepa. Tuendelee...
2. State Department/FBI hawawezi ku respond kwa Mushi. Balozi Green alisema Dar-es-Salaam, na akarudia tena juzi, Serikali ya TZ ikitaka msaada kumsaka Billal watatufanyia kila kitu. Hawa ni waandishi walimuuliza whereabouts za Billal. Kwa hiyo anajua vizuri sana sana kwamba Bongo kulikuwa na outcry ya kutaka ishu ya Ballal ieleweke, lakini US wana dili na Serikali, sio na private individuals au Waandishi.
3. That goes for Wabunge too b'cos no one MP speaks for TZ. Kwa sababu Z. US hawawezi ku respond kwa entreaties za watu zaidi ya Serikali Mushi anajaribu kutumia informal ways kupata info, kazi ambayo Serikali hawataki kuifanya.
Namsaluti huyu Mzalendo JMushi anavyo hangaika independently toka jana ku break the shroud of secrecy ya TZ govt, anapiga simu ubalozini na googling, na vile na hivi. Singlehandedly!
That is true patriot. Wengine tuendelea kuwa wataalam wa kwenye viti tu. Fellow countryman JMushi ahsante kwa huduma yako.
Sisi tumetoa taarifa kutoka kwenye search engine ambayo ni public..Na hapa si ni public pia provided hizi info si zangu binafsi bali zilizipostiwa kwenye web?
Ballali siyo mtuhumiwa?
Sasa hao waliowasiliana naye kiaina aina wasihojiwe ama kuwa doubted?
Tena wako hapa marekani na sisi tulikuwa tukimtafuta kwa udi na uvumba!
Familia ikagoma kusema chochote,serkali pia!
Sasa hao si ndio wangeweza kutusaidia kwenye upelelezi?
NB:Halafu Kishoka alijuaje kuwa huyo Kinyaga amehamia UK?
NO!Kinyaga na Muthoni walishawahi kuachiana messages kwenye web!Mkuu wangu Mushi,
Hivi ni kweli ulimtafuta Balali kwa udi na uvumba na ukamkosa? Kwa hiyo unataka kusema kuwa Balali hakuwa hapa US? Wewe ulimtafutia wapi na vipi mwenzangu?
Issue ya Kishoka kumfahamu Kinyaga ni jambo la kawaida kwa waafrika kufahamiana hapa US kwenye babikyu na kwenye kubeba maboksi. Kwa nini wewe maneno yako kuhusu Kinyaga yaaminiwe zaidi ya Kishoka?
NO!Kinyaga na Muthoni walishawahi kuachiana messages kwenye web!
Sasa kosa langu wapi hapo!?
Mimi sijui kama wanafahamiana..Ila wameshawasiliana kama vile watu wanaofahamiana!
Mwafrika wa kike..Huko bongo wananchi walikuwa wanaambiwa wapeleke taarifa zozote zitakazoweza kusaidia kwenye uchunguzi wa mafisadi!
Nini kimefanyika?
Sasa nikimpelekea Said Mwema taarifa za kina Kinyaga na Muthoni kuwa walishawahi kuwasiana na Ballali tunyemtafuta hapa USA atafanya nini?
Kwasababu si ni wao (maofisa 7) walikuja juzi kumtafuta Ballali?
Sasa wameshatuambia kuwa walimkura ameshafariki ama akiwa mzima?
Je ni presha ya kuwaona wao iliyomuua?
NO!Kinyaga na Muthoni walishawahi kuachiana messages kwenye web!
Sasa kosa langu wapi hapo!?
Mimi sijui kama wanafahamiana..Ila wameshawasiliana kama vile watu wanaofahamiana!
Ni vizuri ukimpelekea Saidi Mwema hizi taarifa za mawasiliano ya hao vijana na Balali ili ashughulikie. Ni vizuri pia ukawa na hakika kabisa kuwa huyo Daudi wa hiyo simu ni Balali kwa vile kama itakuwa si hivyo basi itakuwa ni vibaya sana kwa kuweka majina ya watu hapa ukiwahusisha na Balali kutokana na makosa ya search engines.
Naunga mkono hatua zako ila hakikisha kuwa hiyo database uliyotumia iko current na kuwa hiyo namba unayodai kuwa ni ya Balali ni ya Balali kweli.
Kazi ya kuhakikisha ni ya Saidi Mwema!
Mimi ni mwananchi ninayetoa taarifa tu!
Kazi ni yao kuzitumia intelligence zao kufind out what is what!